Thread closed!Nenda DIT wakupe barua inayoonyesha wew sio mwanafunzi wao kisha ipeleke TCU... mimi niliwahi fanya hivyo
Asante kwa ushauri mkuu ,umesaidia wengi kwa ushauri wako maana hili tatizo limewakumba watu wenginenda DIT kwa ADMISSION OFFICER mueleze , atakupabarua ya ku terminate ... ipeleke TCU pale watakupa fomu ujaze watambatanisha na hiyo barua.. basi unakuwa huru kufanya application....
Ooh jaman ndo maana system inaendelea kukusoma. Fika chuo husika watakwambia cha kufanyaNiliacha kimyakimya mkuu ,nikajua watanifuta kwasababu sijaripot
TCU baada ya kuzuiwa udahili naona asirazao wanamalizia kwa waombaji tena wenye sifa kamilifu ili watu walalamike uonekane hii system haifai warudishiwe wao waendelee kupiga pesa za hongo vyuoniKwann wasitoe majina ya watu ambao ni cont kuonesha kuwa wanakigezo kuchaguliwa chuo walichoomba,kuliko kuwapiga chn kabisa maana unashindwa kuelewa kuwa pengine unakuta huna kigezo,mi pia ni mhanga Wa hicho kitu
sam nujoma road,mkabala na mlimani city.Msaada TCU ilipo, ni wapi
kaka mkubwa hayo majina nitayaonaje vizuri coz hapo kama hayaonekani tusaidie link