Rejao, Ritz, Omr & FF

Status
Not open for further replies.

JF Wanampango wa kukataa mawazo mbadala.. kwa hiyo wamewapiga pini baadhi ya majukwaa... ******** mjiachie wenyewe ... da F.F na Ritz walikuwa complain & congrats wakilalamika kule wamekuwa restricted .... JF where we dare to .......😛oa
 
mbona jana tulikuwa na rejao kule sports au wewe uko siasa zaidi nini..
 
mimi makupa bado nipo sana tu
 
mbona jana tulikuwa na rejao kule sports au wewe uko siasa zaidi nini..
Kuna watu ambao muda wote wanawashwa mkuu. Wasipoona hizo ID wanachanganyikiwa. Leo tupo na Zambia au Ivory cost? Najua utakuwa upande wa Y.Toure!
 
Kipenzi changu FaizaFoxy kapigwa ban Ritz nae nimeona bandiko lake kule Complaints, Congaratas, Advice, uzi wake umepigwa mstari analalamika kanyimwa access baadhi ya majukwaa.
Hawa jamaa kutokuwepo kwao jukwaa la siasa limelala doro, kila kitu wana CDM wanakubaliana.
 

Kaka una ushahidi ebu fuata maneno ya DK Slaa, kabla ujafanya utafiti usiropoke. Hao jamaa wapo tofauti sana.
 
lol hata dini yao hawaijui.
Mkuu, mapungufu ya ukristo katika Biblia na Mfumo Kristo ndio unafundishwa zaidi, kumbe dini kama dini inafundishwa kwa kufanya rejea katika mambo hayo mawili sasa sijui kama yanakuwepo katika mitihani, ndio maana wengine tunakaa mbali na dini hizi mbili.
 
Huyu mtu yupo wapi??:A S-coffee:
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…