Ninaamini kuwa mzee masako hajashauriwa vizuri katika hili, hafanani na siasa za ulanga west ila ni vema tuone msuguano huu 2010 utaifundisha nini jamii yetu. As far i know waliojitokeza either hawana agenda zinazoendana na mahitaji ya jimbo, wamekosa hoja za kushawishi umma wao kwa sababu agenda kuu kwao ni mbunge aliyepo, wanamtuhumu kuwa hajafanya lolote, amekaa muda mrefu, amezeeka n.k lakini wanasahau ni ccm hiyohiyo ndio iliyouza ilani ambayo wao wanaiponda kutofanikiwa lakini wanaitaka tikiti hiyo hiyo, ccm wanasema wako vizuri kwani wana mafanikio ya kujivunia jimboni!!!
Waliojitokeza kwa sasa ni vijana simon ngonyani yuko ktk project fulani za maji hapo wizarani, yassin njayagha- kijana aliyekuwa marekani na kutambulishwa kwa rais wetu muungwana jk 2006 kama rais wa watz wanaoishi Amerika kwa influence ya mbunge wa sasa, dr.romuald mbwasi-yuko na mradi maduka madogomadogo ya dawa unao supportiwa na wamerekani, mponda hajji wa wizara ya afya, na sasa tunae mshikaji masako, kazi kwerikweriii.
Nway, siasa ina wenyewe na sisi tunafurahi kuwa hawa jamaa nao wakiingia ktk mchakato kwa mara ya kwanza, tatizo langu ni kwa vijana wenzangu, wameingiza siasa za mapesa sasa sijajua nani yuko nyuma yao kiufadhiri na kama watazirejesha vipi hizi fedha wazitumiazo.
Kila la heri 2010 ulanga west