Rehearsal

Hahahahaaaaaaa

Usicheke mkuu Mshana Jr. hawa ccm waliona miaka mitano ni mingi sana, wakatumia miaka hiyo mitano kupiga dili! Kuja kushtuka uchaguzi huu hapa na hawajafanya kitu!

Sasa wananchi hawawataki wanajaribu kubaka demokrasia!
Nenda hospitali! Chanjo za watoto wachanga hamna ila hela za kuwahonga wasanii na mambo ya kipuuzi

I hate ccm! Naichukia sana! Waongo to the maximum やはりはな ccm!!!!
 
Last edited by a moderator:

Kaka chuki yangu kwa hiki chama nikiamua kuitema yote itajaza mapipa kumi makubwa
 
Last edited by a moderator:
hatuogopi hata muwalete Al-kaida
 

Attachments

  • 1445331405575.jpg
    70.5 KB · Views: 186
du.....ndo wanatupangia kabisa mkakati!!hayo magali ya maji ya kuwasha yako mangapi na yenye ujazo gani?!
 
Hayo magari yaletwe huku kijijini kwetu yanafaa kwa kilimo cha umwagiliaje aiseee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…