Registered Members wa JF 100,233 leo.

WildCard

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2008
Posts
7,505
Reaction score
2,419
Wote hawa tungechangia hata shs 1000 tu kwa mwaka, JF ingepata zaidi ya milioni 100. Mods angalieni namna tunavyoweza kuchangia hata kwa zile namba tano za simu za mkononi.
 
Tuzidi kuhimiza watu wengi wajiunge hizi takwimu haziridhishi sana hasa ukizingia kuwa idadi kubwa ya raia wa Tanzania ni vijana na wengi walioko vijijini hawana fursa ya kupata habari kwenye magazeti na tv's lakini kikubwa kushiriki mijadala.
 
hili wazo zuri, badala ya kutegemea watu wachache wachangie malaki.

wenye ID 50 itabidi wachangie kila ID
 
lete utaratibu wa kuchangia basi ili watu tulete mafweza , kumbuka kuwa ID zetu zimefichwa , so make sure about our secret !
 
naunga mkono hoja..naomba namba ya kuchangia
 
wote hawa tungechangia hata shs 1000 tu kwa mwaka, jf ingepata zaidi ya milioni 100. Mods angalieni namna tunavyoweza kuchangia hata kwa zile namba tano za simu za mkononi.
great thinker huyoo
 
Wote hawa tungechangia hata shs 1000 tu kwa mwaka, JF ingepata zaidi ya milioni 100. Mods angalieni namna tunavyoweza kuchangia hata kwa zile namba tano za simu za mkononi.

Naona Mods wameridhika na kidogo wanachopata. Wangekuwa wabunifu zaidi wangeweza kuja na Idea kama hizi. Unajua si wote wenye uwezo wa kujiunga kuwa kwenye level za Bronze, Gold, Platinum nk. Lakini wakifanya utaratibu kila mtu achangie angalau 1000/= kwa mwaka au for his/her ID life being ingeinua sana kipato cha JF. JF tunataka ipanuke si East Africa tu, bali iiteke Africa yote then baada ya hapo itoke nje ya Africa. Do you think is impossible? No it is very possible.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…