The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,114
- 115,935
Ukimtazama Reginald Mengi jinsi alivyoingia kwenye hiyo vita ya ufisadi,mimi huwa kila siku najiuliza kama Mengi yupo okay kimawazo
(peace of mind), sio kwa sababu anchikifanya hakina maana, bali nguvu anayiitumia na obssession aliyonayo juu ya ya hiyo vita ya ufisadi, kama Mengi angekuwa na umri wa miaka ya hamsini (fifties) ungesema anapitia midlife crisis, but Mengi yupo kwenye themanini (eighties) sasa swali ninalojiuliza je anapitia second midlife crisis??? au nyinyi mnaona Mengi yuko normal kisaikolojia?
Binafsi namuona ana obsession na hao mafisadi kiasi kwamba maisha yake binafsi huenda yakawa yamevurugika kabisa, ana invest pesa na time kwenye hiyo vita katika mazingira ambayo mtu unaanza kuhoji state ya akili yake .... i mean for him it seems to be more like a personal thing na sio kuungana na watanzania kupambana na tatizo la taifa.
Sijui wana jf mnalionaje hilo.....?