Reginald Mengi kugombea Urais

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Taarifa zisizo rasmi zinadai ya kuwa mwenyekiti wa IPP Dkt. Reginald Mengi ana mpango wa kugombea uraisi mwaka huu wa uchaguzi 2015.

Japo haijfahamika wazi kuwa atagombea kupitia chama gani au mgombea binafsi.

Katika kipindi cha hivi karibuni Mengi amekuwa akionekana kuwa mwiba kwa serikali kupitia maneno yake zikiwemo tweets na kupitia vyombo vyake vya habari huku akisisitiza uzalendo na uwajibikaji.

BY: SUPU YA MAWE
 
Last edited by a moderator:

huwa ukindika thread mia moja tu ndio ya ukweli
 
Last edited by a moderator:
Ni haki yake kugombea,lakini siasa na uongozi wa nchi siyo fani yake.
Vyema akabaki ktk biashara,huko atafaulu zaidi.
 

Nadhani una mpango wa kumtisha Mhongo and his co.
 
Last edited by a moderator:
Ikitokea siku Mchagga akawa Rais wa Tanzania nami nipo hai, ndiyo siku ntaukana uraia wa Tanzania.

wacha tabia yako ya kujichua mkuu mana icho ndo kinafanya akil yko ipungue kila kukicha
 
Hahahaha kura za ccm haziwezi kupunguzika kwa Mengi kwani wanaoipa kula CCm wengi ni wale wasioikubali Chadema kwa kuona ni kama chama cha wachaga.

Agombee kama mgombea huru ili akapunguze kura za wachaga wenzie wa chadema... atakua kaisaidia sana ccm kushinda kiulainiiiiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…