Reginald Mengi ANENA -MABEGA YAMEWABEBA MSIYAKATE

Reginald Mengi ANENA -MABEGA YAMEWABEBA MSIYAKATE

Hivi kwanini Itv waislam hawaruhusiwi kuvaa hijabu wala kofia Lakini Rosali sawa huyu mzee ni mdini na mbinafsi tena mbaguzi uhuru wa habari anaoupigania ni wa nini mbona uhuru wa kuabudu anawakandamiza wislam wachaga wana ubinafsi na ukabila Sana tutaona Kama watashika nji mwakani[/QUOTE
hata azam haajiri wakristo mpaka inawalazimu kubadil majina lakin meng mtu wa mungu anaajiri wote fatma,kitenge,mwaipaya wengi tu..
 
Nina wasiwasi wewe utakuwa Prof wetu anayeongea hovyo kuhusu gesi yetu. Kwa mtanzania Wa kawaida hawezi akakubaliana na Prof Muhongo..

mtanzania wa kawaida yupi unayemuongelea wewe aache kukubaliana na prof kuwa vitalu viwe mali ya taifa kupitia TPDC aungane na Mengi kutaka wapewe wafanyabiashara 'wazawa' ?
 
Back
Top Bottom