Reginald Mengi alituonya juu ya Yusufu Manji tukamdharau

arigold

JF-Expert Member
Jun 23, 2011
600
341
Nakumbuka mzee Mengi alituambia tuwe makini naye,Lakini leo hii ndiye kampuni zake zinapewa tenda karibuni zote Serikalini (asilimia 90).

Huyu mpaka vifaa vya kijeshi anasupply yeye, magodown makubwa yoote anamiliki yeye

Huyu imekuwaje amekuwa na nguvu kiasi hiki? Je, aliyoyasema Mengi juu ya Yusuph Manji miaka ile yalikuwa na ukweli wowote?

Ewe Mungu msaidie rais wetu Magufuli.
 
Hii habari haina ukweli wowote ngoja kwanza niwasiliane kwanza na IPP nitarudi baadaye
 
Haha hah Iyo ndio Siasa ya nchi yetu. Watu wengi wanajisahau sana
 
coco beach amesharudisha kwa wananchi? Hii ya Manji na jeshi nitapitia baadae, ngoja nirudi kwa LUGUMI na JESHI LA POLISI., nchi hii ukiwa na MENO utaila vizuri kweli na ni tamu haswa.
 
Watu hawampendi Mengi kisa ni msalendo wa ukweli! Mafisadi wote hawampendi Mengi
kwanza umeelewa mada kweli wewe?
halafu nani kakuambia tajiri ana urafiki na masikini? kwenye misahafu tunaambiwa ni rahisi zaidi Ngamia kupenya kwenye ........ malizia kwenyewe.
 
Nakumbuka mzee Mengi alituambia tuwe makini naye,Lakini leo hii ndiye kampuni zake zinapewa tenda karibuni zote Serikalini (asilimia 90).

Huyu mpaka vifaa vya kijeshi anasupply yeye, magodown makubwa yoote anamiliki yeye

Huyu imekuwaje amekuwa na nguvu kiasi hiki? Je, aliyoyasema Mengi juu ya Yusuph Manji miaka ile yalikuwa na ukweli wowote?

Ewe Mungu msaidie rais wetu Magufuli.
Hapo ndio umeandika kitu gani?papara ni yanini yoote?
 
Back
Top Bottom