Regina Lowassa na ukabila kwenye kampeni

TataMadiba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2014
Posts
9,868
Reaction score
5,753
Hii familia gani mbona ni shiiiida.

Regina Lowassa mke wa mgombea urais CHADEMA wiki iliyopita alijikuta akirudia makosa yanayokemewa na wanaolitakia mema Taifa pale alipofanya kampeni za ukabila wakati akiwaomba kura wanawake wa mjini Moshi.

Akiwa kwenye viwanja vya uhuru park kuzungumza na wanawake wa chadema aliwataka kuwasiliana na ndugu zao kokote waliko na kuwahimiza kumpigia kura mzee.

Alisema "wewe una ndugu yako Mtwara,una ndugu yako Lindi mwambie atafutekura zake kule.Najua kuwa ninyi mna ndugu zenu sehemu nyingi maana hata kijijini kwetu wachaga wapo"Hii ina maana kwamba aliwataka wachaga kuwasiliana na wachaga wenzao kokote waliko na kuwahamasisha kumpigia kura Lowassa.

Gazeti la Raia Tanzania Toleo Na 0482
 
Desperate times calls for desperate measures..usishangae mtu akiwa desperate anaongea na miti au ng'ombezake anaziomba zimpigie kura ifikapo tar 25.
 
Watu tukisema Lowassa na mkewe Regina wana ukabila na udini watu wanabisha.Asante kuweka ushahidi.Wanataka kura za wachaga na walutheri
 
Regina Lowassa mke wa mgombea urais CHADENA wiki iliyopita alijikuta akirudia makosa yanayokemewa na wanaolitakia mema Taifa pale alipofanya kampeni za ukabila wakati akiwaomba kura wanawake wa mjini Moshi.

Akiwa kwenye viwanja vya uhuru park kuzungumza na wanawake wa chadema aliwataka kuwasiliana na ndugu zao kokote waliko na kuwahimiza kumpigia kura mzee.

Alisema "wewe una ndugu yako Mtwara,una ndugu yako Lindi mwambie atafutekura zake kule.Najua kuwa ninyi mna ndugu zenu sehemu nyingi maana hata kijijini kwetu wachaga wapo"Hii ina maana kwamba aliwataka wachaga kuwasiliana na wachaga wenzao kokote waliko na kuwahamasisha kumpigia kura Lowassa.

Gazeti la Raia Tanzania Toleo Na 0482
 
Regina Lowassa mke wa mgombea urais CHADENA wiki iliyopita alijikuta akirudia makosa yanayokemewa na wanaolitakia mema Taifa pale alipofanya kampeni za ukabila wakati akiwaomba kura wanawake wa mjini Moshi.

Akiwa kwenye viwanja vya uhuru park kuzungumza na wanawake wa chadema aliwataka kuwasiliana na ndugu zao kokote waliko na kuwahimiza kumpigia kura mzee.

Alisema "wewe una ndugu yako Mtwara,una ndugu yako Lindi mwambie atafutekura zake kule.Najua kuwa ninyi mna ndugu zenu sehemu nyingi maana hata kijijini kwetu wachaga wapo"Hii ina maana kwamba aliwataka wachaga kuwasiliana na wachaga wenzao kokote waliko na kuwahamasisha kumpigia kura Lowassa.

Gazeti la Raia Tanzania Toleo Na 0482

Huyu mama nae kazeeka vibaya
 
Wanachokonoa hata visivyochokonolewa. Moshi ni kwa wachaga sasa hilo gazeti lilitaka aseme nyie wakwere wakati yupo moshi? Total rubbish
 
Sioni kama ni ukabila kwa kauli yake hiyo, hajasema mumchague kwa vile ni mchagga au kutoka Kaskazini bali amesema mtandao wa wachaga ni mkubwa hivyo waliokuwepo kwenye mkutano ambao kwa kiwango kikubwa ni wachaga watumie mtandao huo kupiga kampeni ili mume wake ashinde. Waandishi hao ni wakurupukaji, wasifikili kutengana katika nchi hii kukitokea wao watanusurika labda kama ni Wanyarwanda kama alivyo bosi wao 'Field Marshal World".
 
Mhariri wa gazeti la Raia Tanzania inbidi kuanzia Januari anufaike na mpango mzima wa ELIMU ELIMU
Hakuna tatizo kumpigia simu ndugu yako na kumshawishi amchague mgombea fulani. Hizo ni kampeni za kisomi
 
Back
Top Bottom