Sidhani kama nimeelewa mada yako ni nini mkuu. Unajaribu kutuambia kwamba hukujua tangu umezaliwa hadi Leo kwamba mtu mlemavu anafikiri na kuongea kama wewe usiye mlemavu? Kama hivyo ndivyo basi nadhani tukujadili wewe.
Au unajaribu kutuambia kwamba regia alipewa fursa aliyo nayo kwa sababu Chadema walitaka kuonesha kwamba siyo wabaguzi? Kama hivyo ndivyo, unahitaji kuomba radhi kwa regia na Chadema.
Mbona na wewe unatenda dhambi ile ile aliyotenda mwanzisha mada? Ukisema ni mwanamke wa shoka bado umembagua. Ushoka wake siyo kwa sababu ya jinsi yake bali kwa sababu ya uwezo wake. Vema ukisema ni mpiganaji wa shoka au ni mwanasiasa wa shoka.
kweli tabia haitibiki... dogo naona roho hwa inakuuma sana wenzako wakisifiwa, i thought you have grown up!! Pole sanaMada yako haihusiani na siasa peleka kwenye jukwaa husika
Namkubali sana Regia pia,ni kiongozi mwenye uchungu na watu wake,msikivu,mnyenyekevu na jasiri.
Nafurahi kuona amepambana kufika alipofika,anastahili na kweli ni mfano wa kuigwa na kinadada na kinamama.
Mungu azidi kumwinua,atuwakilishe vizuri na 2015 ashinde Kilombero awatumikie zaidi wananchi anaowapa kipaumbele.
Ameolewa????Imenitokea kwamba binafsi namwamini sana Regia.
Sijawahi kukutana nae ana kwa ana, lakini nimeongea nae kwa simu mara kadha na kumwona kwenye kampeni kupitia tv na clips za you-tube jf. Ni dada ambae yuko committed sn na haamini ktk kushindwa.
Kama ataretain msimamo alio nao basi yeye ni potential ya pekee sn kwa cdm,makundi yote ya jamii, na taifa kwa jumla.
Mungu ambariki sana.
Ameolewa????
Akina dada mnapaswa kuiga moyo na ujasiri wa mh mbunge Regia
Nina imani wale wadada machachari na cv zao humu waliopo ndani na nje ya nchi hii wakijitokeza kuwania ubunge wa kuchaguliuwa na hata viti maalum nina hakikia watashinda kwa 100%
Msiache nafasi zenu kuchukuliwa na waimba bongo flavour,taarabu,watangazaji na wale vimada wa wakulu
Hongera Regia umeonyesha njia nina hakika 2015 tutapata wengi kutoka humu wimbledon!
Ameolewa????
Ameolewa????
ahsante kwa kutupa moyo.
Tutatangaza tu nia, ngoja tuendelee kujifunza kwa regia.
anza sasa usisubiri 2015...hata mbuyu ulianza kama mchicha
ahsante kwa kutupa moyo.
Tutatangaza tu nia, ngoja tuendelee kujifunza kwa regia.
nitakuteua kwenye kamati ya kampeni.
Ila mhakikishe hamna skendo za ngono na mahusiano, ni hilo tu huwa linawaweka kwenye wakati mgumu.