kinepi_nepi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2007
- 869
- 236
Teh teh teh...ngoja Kiranga aone hii.
hii hata Kiranga lazima aunge mkono. Mimi mwenyewe I second it. Amefanya kazi kubwa sana ya kutuletea habari kwa wakati muafaka na kwa kweli inabidi awe na overall incharge ya kuendesha kitengo hiki siyo regular elite or overburden bureaucrats.
Huwezi kumpa mtu asiyejua alif wala bet kwenye mawasiliano, asiye na utashi wa kujifunza wala staha na haiba za ung'amuzi kazi nyeti ya ukurugenzi wa habari.
Huyu siye yule aliyesema haelewi nafasi ya rais katika katiba? Sasa mtu kama huyu unategemea atafanya nini zaidi ya kutegemea kina Mwanakijiji wamuandikie vitu? Atakabwa kwenye press conference mpaka aombe Mwanakijiji amjibie maswali.
Acheni utani jamani, mkurugenzi wa habari my foot.
Yaani nimecheka hadi nusura nipaliwe! Nyani.. you had to drag Kiranga mwenyewe alikuwa anaangalia AI (like me I think). Kiranga.. well itabidi tumsaidie tu (Regia) sasa tufanyeje maana hao ambao unaweza ukasema wangeonesha initiative ndio hivyo tena.
Huwezi kumpa mtu asiyejua alif wala bet kwenye mawasiliano, asiye na utashi wa kujifunza wala staha na haiba za ung'amuzi kazi nyeti ya ukurugenzi wa habari.
Huwezi kumpa mtu anayeenda kwa kuunga unga mambo, anayebishana bishana mtandaoni bila kujua anabishania nini, anayelia lia, anayetukana watu kiasi cha kukimbiza hata washabiki wa CHADEMA, kazi hii.
Huyu dada kama alivyosema Tundu Lissu, hata bungeni kaenda kujaza nafasi tu. Matter of fact wabunge wa kuteuana wote vidosho tu.
Lakini nafurahi kuona kwamba hizi ni habari za kinepinepi tu. CHADEMA washachemka vya kutosha kuwapa airheads kama huyu ubunge, wasichemke zaidi kwa kuwapa nafasi za uongozi.
Huyu siye yule aliyesema haelewi nafasi ya rais katika katiba? Sasa mtu kama huyu unategemea atafanya nini zaidi ya kutegemea kina Mwanakijiji wamuandikie vitu? Atakabwa kwenye press conference mpaka aombe Mwanakijiji amjibie maswali.
Acheni utani jamani, mkurugenzi wa habari my foot.
Sikuwahi kujuwa hapa JF kama kuna mijitu ina chuki ya viwango vya KIRANGA. point ya msingi hapa kati ya wenye degree 100 na huyu Regia alieishia darasa la 4 ni nani aliekuwa anawaupdates watu hapa kwa kipindi chote cha harakati za CHADEMA? mkuu KIRANGA ukiwa na roho hiyo kwenye umri huo, basi ukiwa mzee ni lazima utakuwa mchawi tu hilo halina ubishi.

bora hata unyamaze kiranga ni zaidi ya ufikiriavyo
Sikuwahi kujuwa hapa JF kama kuna mijitu ina chuki
ya viwango vya KIRANGA.
point ya msingi hapa kati ya wenye degree 100
na huyu Regia alieishia darasa la 4
ni nani aliekuwa anawaupdates watu hapa kwa kipindi chote cha harakati za CHADEMA?
mkuu KIRANGA ukiwa na roho hiyo kwenye umri huo, basi ukiwa mzee ni lazima utakuwa mchawi tu hilo halina ubishi.
Dada Regia ametusaidia sana kutuhabarisha hapa jamvini na kila mwana janvi ameshampigia senkisi kibao tu, wazo la kuwa na mkurungezi wa habari ni nzuri nafikiri chadema wao wanalifanyika kazi kama MJJ alivyokuwa akihojiana na Rais siku mbili tatu zilizopita.
Pendekezo ni zuri lakini naona Regia ana majukumu mengi tu na sidhani yeye mwenyewe ataafiki pendekezo hili, si vizuri kuanza kuandika mambo mengi ya nyuma ambao sisi wanajamvi wengine yatuhitaji kuyajua, cha msingi kimeshajibiwa na Rais na haya mengine ya watu kwa watu sisi hatutaki kuyafahamu -
Si vizuri hata kama mna mambo yenu basi mpigane madongo kwenye PM. SIJAPENDA mtu kuandika pumba kibao akidhani yeye ni staa hapa JF, kumbukeni Regia ni Mwakilishi wa wananchi kama una dukuduku lako kuna namna ya kumpata na kumwambia siyo kumwaga upupu wako hapa jamvini.
Mmeniharibia siku yangu.
kaka nyamaza JF ina wenyewe ndugu yangu, :biggrin1: usije ukaambulia ban bure.
Naunga mkono hoja. Kutoa updates hapa jamvini hakuhalalishi huyo Regia kupewa kurugenzi ya habari. Ripoti zake nyingi huwa anatoa kama mshabiki wa chama na si eksekativu wa chama. Mfano ile siku ya maandamano ya Mwanza alipost kuwa watu wanamshangilia Mdee na amèfunika kixhenzy, badala ya kusema maudhui ya maandamano. sasa mkurugenzi wa habari huripoti mambo hivi? Aaaaaaaaah!
Embracing mediocrity in this vortex of complacency.
Let's go on a toe to toe basis, pumba ipi hapo? Kwamba Regia ni airhead?
Hizi habari za heshima za kijinga, treating each other with kid gloves and all ndizo zinatufanya tuwe masikini kila siku, hapa ni brutal honesty na zero tolerance tu.
Na Regia ni mwakilishi wa CHADEMA, si mwakilishi wa wananchi as far as I am concerned, so stop raising her above her true station. Wengine hatutaki hata kuwasikia hao wabunge wa kupeana, ndio hao waliotuletea disasters kama hii inayoitwa Jakaya Mrisho Kikwete.