Asante sana kaka nadhani wewe umemaliza kila kitu.Mungu wangu!! kweli wewe ni mbumbumbu. Mpaka sasa hujajua tofauti ya watu wa aina ya Shibuda na wale wa aina ya Nape Nnauye? Kwa taarifa yako watu kama Nape wameonyesha kabisa kuwa wanatafuta uongozi kwa maslahi yao na sio taifa ndo maana hata baada ya kufanyiwa zengwe ameendelea kuwa mnyenyekevu kwa mafisadi akijua kabisa CHADEMA hamna maslahi. Watu kama Shibuda ni sawa na watenda dhambi waliomrudia mungu baada ya kupata madhara ya dhambi.
Umbumbumbu wako unajionesha zaidi pale unapokuwa hujui hata jinsi unavyoibiwa kodi yako na ccm na hujui hata mgawanyo wa mapato ulivyo ndo maana unataka kuona kama ilemela na nyamagana watapata elimu bure, lakini ungekuwa na ufahamu ungegundua kuwa elimu ni sera ya kitaifa hivyo hata kama uongozi wa jimbo ni mzuri kiasi gani bado utategemea uongozi wa kitaifa.
Nakuomba ndugu yangu zinduka usipende kubaki nyuma kila wakati; yaani tulipokuwa ktk kipindi cha kupigania uhuru aina ya watu kama wewe walikuwa wanatetea wakoloni, ulipokuja mfumo wa chama kimoja nyie mliendelea kuongelea vyama vingi, tuliporudi kwenye mfumo wa vyama vingi nyie mmebaki na mawazo ya chama kimoja, tunaingia kwenye utandawazi nyie bado mmelala usingizi mnafikiri bila ccm hamna Tanzania. MAWAZO MGANDO HAYO!!!
Mimi sijui kama watu walio ipigia kura ccm kama wana akili timamu,yaani napata wasiwasi sana tena mkubwa,kwasababu kwa karne hii mtu yoyote mwenye akili timamu awezi kukubali kuipigia kura ccm.Ccm ni wezi kila kona wanaiba kura wana mdhurumu kila mtu.:doh:
Hakika umesema kweli kabisa. Hujakosea hataHakika wewe lazima utakuwa ni mkazi wa LINDI, RUFIJI au MTWARA
Lugha za mafisadi utazijua tu!Kwani nyie chadema mtatoa wapi source za maendeleo. Msidanganyie pipi watu wakubwa waongo watupu tena nyie ni wabaya kuliko CCM. Maana mlikuwa CCM mkotoswa mnajidai leo wapinzania muulizeni SLAA alitoka CCM kama mrema kwa hiari yake? alitoswa ndo akajidai nae mpinzani, Muulize mzushi SHIBUDA aliisifia sana CCM kufunga bunge hili katoswa eti nae kajidai mpinzaini. CHADEMA chaka la waliofulia Mungu wangu mkipata nchi manyanyaso yenu SIPATI picha. mengi hatuna tunataka elimu bure, afya bure wanacnhi wa arusha, ilemela, nyamagana na kwingine tuone fund mtatoa wapi, Mtaona mnasema ooh tutatekeleza ahadi mpaka tupate RAIS wakati wa kampeni hamjalisema hilo.
Pia vijana tuone mtawasaidia nini. maana mfuko ni huo wa Benki kuu unaosubiri TRA waweke makusanyo
Kwani nyie chadema mtatoa wapi source za maendeleo. Msidanganyie pipi watu wakubwa waongo watupu tena nyie ni wabaya kuliko CCM. Maana mlikuwa CCM mkotoswa mnajidai leo wapinzania muulizeni SLAA alitoka CCM kama mrema kwa hiari yake? alitoswa ndo akajidai nae mpinzani, Muulize mzushi SHIBUDA aliisifia sana CCM kufunga bunge hili katoswa eti nae kajidai mpinzaini. CHADEMA chaka la waliofulia Mungu wangu mkipata nchi manyanyaso yenu SIPATI picha. mengi hatuna tunataka elimu bure, afya bure wanacnhi wa arusha, ilemela, nyamagana na kwingine tuone fund mtatoa wapi, Mtaona mnasema ooh tutatekeleza ahadi mpaka tupate RAIS wakati wa kampeni hamjalisema hilo.

Muulize Mnyika kesi aliyofungua mwaka 2006 kama ilishatolewa hukumu! Mafisadi wameiteka mpaka mahakama. Hata hukumu ya Chenge ya kuua atapeta nakwambia.Ninachojua na kuamini HAki ya Regia haijapotea bure, aende mahakamani hima bila kuchelewa.
mkuu embu njoo ufafanue hapa, alikataa au alipokea? kwasababu tunahasira kweli kweli?Habari hii SI YA KWELI.
Niliongea na Regia jana jioni; akaikanusha vikali na kudai kuwa hata yeye amepigiwa simu na wananchi na wengine wanamtumia sms za vitisho kuwa amewauza kwa kuwaachia CCM jimbo.
Wana JF, tusi-advocate violence kwa kuamini vitu kabla ya kuvihakiki vyanzo vyetu. Hii imemfanya Regia kukosa amani akihofia usalama wake.