Jamani habari za regia zina utata sana. hebu wenye habari watujuze tafadhali. Je ameshinda jimbo hilo?
Nimethibitishiwa na mtu mzito aliyepo Kilombero kuwa CCM walitaka kumhonga aliyekuwa mgombea mbunge wa Jimbo la Kilombero, Regia Mtema, Shilingi milioni 200 ili akubali matokeo bandia ya kura za ubunge, lakini amekataa!
Inasemekana JK alipokwenda Kilombero wakati wa kampeni aliwalaumu viongozi wa huko kwa kumsimamisha mgombea dhaifu, na akaonya kwamba wakilipoteza jimbo hilo kwa upinzani watakiona. Bila shaka Regia ataingia humu kututhibitishia taarifa hizi.
Habari hii SI YA KWELI.
Niliongea na Regia jana jioni; akaikanusha vikali na kudai kuwa hata yeye amepigiwa simu na wananchi na wengine wanamtumia sms za vitisho kuwa amewauza kwa kuwaachia CCM jimbo.
Wana JF, tusi-advocate violence kwa kuamini vitu kabla ya kuvihakiki vyanzo vyetu. Hii imemfanya Regia kukosa amani akihofia usalama wake.
Na wewe ni CHADEMA mkuu.Mubyazi ccm wewe
Na wewe ni CHADEMA mkuu.
Kwani ni dhambi kuwa CCM?
thank you for stating this, jf inameanza kua huru hadi sasa watu wameanza ku-advocate violence na ku-post vitu vya ajabu. Nahisi amani yangu inachezewa sana na power ya cyber.habari hii si ya kweli.
Niliongea na regia jana jioni; akaikanusha vikali na kudai kuwa hata yeye amepigiwa simu na wananchi na wengine wanamtumia sms za vitisho kuwa amewauza kwa kuwaachia ccm jimbo.
Wana jf, tusi-advocate violence kwa kuamini vitu kabla ya kuvihakiki vyanzo vyetu. Hii imemfanya regia kukosa amani akihofia usalama wake.
Habari hii SI YA KWELI.
Niliongea na Regia jana jioni; akaikanusha vikali na kudai kuwa hata yeye amepigiwa simu na wananchi na wengine wanamtumia sms za vitisho kuwa amewauza kwa kuwaachia CCM jimbo.
Wana JF, tusi-advocate violence kwa kuamini vitu kabla ya kuvihakiki vyanzo vyetu. Hii imemfanya Regia kukosa amani akihofia usalama wake.
ndiyo, ni dhambi. Ona mlivyoiharibu nchi. Miaka 50 ya kutawala lakini hamjafanya lolote. Sasa usinyooshee kidole shoprite na steers na kusema hayo ndo maendeleo
Kwani nyie chadema mtatoa wapi source za maendeleo. Msidanganyie pipi watu wakubwa waongo watupu tena nyie ni wabaya kuliko CCM. Maana mlikuwa CCM mkotoswa mnajidai leo wapinzania muulizeni SLAA alitoka CCM kama mrema kwa hiari yake? alitoswa ndo akajidai nae mpinzani, Muulize mzushi SHIBUDA aliisifia sana CCM kufunga bunge hili katoswa eti nae kajidai mpinzaini. CHADEMA chaka la waliofulia Mungu wangu mkipata nchi manyanyaso yenu SIPATI picha. mengi hatuna tunataka elimu bure, afya bure wanacnhi wa arusha, ilemela, nyamagana na kwingine tuone fund mtatoa wapi, Mtaona mnasema ooh tutatekeleza ahadi mpaka tupate RAIS wakati wa kampeni hamjalisema hilo.
Pia vijana tuone mtawasaidia nini. maana mfuko ni huo wa Benki kuu unaosubiri TRA waweke makusanyo