Elections 2010 Regia Mtema akataa hongo ya CCM

MzeePunch

JF-Expert Member
Jun 8, 2009
1,412
203
Nimethibitishiwa na mtu mzito aliyepo Kilombero kuwa CCM walitaka kumhonga aliyekuwa mgombea mbunge wa Jimbo la Kilombero, Regia Mtema, Shilingi milioni 200 ili akubali matokeo bandia ya kura za ubunge, lakini amekataa!

Inasemekana JK alipokwenda Kilombero wakati wa kampeni aliwalaumu viongozi wa huko kwa kumsimamisha mgombea dhaifu, na akaonya kwamba wakilipoteza jimbo hilo kwa upinzani watakiona. Bila shaka Regia ataingia humu kututhibitishia taarifa hizi.
 
Jamani habari za regia zina utata sana. hebu wenye habari watujuze tafadhali. Je ameshinda jimbo hilo?
 
CCM CCM CCM, wananchi tumewachoka, mnatuibia mchana kweupee jamani, nani kawapigia kura nyie? mnashangaza sana ktk maisha yangu sijawahi na sitoipenda CCM jamaani, wapi kuna shimo tunaweza ifukia hii CCM? mbona wanajifanya wana haki kwenye kila kitu? nchi si yao hii grrrrrrrrrrrrrr :doh:
 
Nimethibitishiwa na mtu mzito aliyepo Kilombero kuwa CCM walitaka kumhonga aliyekuwa mgombea mbunge wa Jimbo la Kilombero, Regia Mtema, Shilingi milioni 200 ili akubali matokeo bandia ya kura za ubunge, lakini amekataa!

Inasemekana JK alipokwenda Kilombero wakati wa kampeni aliwalaumu viongozi wa huko kwa kumsimamisha mgombea dhaifu, na akaonya kwamba wakilipoteza jimbo hilo kwa upinzani watakiona. Bila shaka Regia ataingia humu kututhibitishia taarifa hizi.

mimi nimekasirika sana yaani nilikuwa nipo njiani nikaona taarifa kuwa huyu dada kashinda basi njia nzima nilikuwa najichekea mwenyewe kwa furaha ,now wameshachakachua,,,wana laana sana hawa ..dada tuko pamoja
 
Tutawazika hao si si m mda si mrefu,tunakamilisha taratibu za mazishi.
 
Najua alishinda yy c m2 wa kushndw machoz ye2 yatavuja pa1 nae u hv ma ful support mamaa here 4m mbinga district council
 
Habari hii SI YA KWELI.

Niliongea na Regia jana jioni; akaikanusha vikali na kudai kuwa hata yeye amepigiwa simu na wananchi na wengine wanamtumia sms za vitisho kuwa amewauza kwa kuwaachia CCM jimbo.

Wana JF, tusi-advocate violence kwa kuamini vitu kabla ya kuvihakiki vyanzo vyetu. Hii imemfanya Regia kukosa amani akihofia usalama wake.
 
Mubyazi ccm wewe
 
habari hii si ya kweli.

Niliongea na regia jana jioni; akaikanusha vikali na kudai kuwa hata yeye amepigiwa simu na wananchi na wengine wanamtumia sms za vitisho kuwa amewauza kwa kuwaachia ccm jimbo.

Wana jf, tusi-advocate violence kwa kuamini vitu kabla ya kuvihakiki vyanzo vyetu. Hii imemfanya regia kukosa amani akihofia usalama wake.
thank you for stating this, jf inameanza kua huru hadi sasa watu wameanza ku-advocate violence na ku-post vitu vya ajabu. Nahisi amani yangu inachezewa sana na power ya cyber.
 
Habari hii SI YA KWELI.

Niliongea na Regia jana jioni; akaikanusha vikali na kudai kuwa hata yeye amepigiwa simu na wananchi na wengine wanamtumia sms za vitisho kuwa amewauza kwa kuwaachia CCM jimbo.

Wana JF, tusi-advocate violence kwa kuamini vitu kabla ya kuvihakiki vyanzo vyetu. Hii imemfanya Regia kukosa amani akihofia usalama wake.

Si kweli, ina maana hakukataa bali alipokea?
 
ndiyo, ni dhambi. Ona mlivyoiharibu nchi. Miaka 50 ya kutawala lakini hamjafanya lolote. Sasa usinyooshee kidole shoprite na steers na kusema hayo ndo maendeleo

Kwani nyie chadema mtatoa wapi source za maendeleo. Msidanganyie pipi watu wakubwa waongo watupu tena nyie ni wabaya kuliko CCM. Maana mlikuwa CCM mkotoswa mnajidai leo wapinzania muulizeni SLAA alitoka CCM kama mrema kwa hiari yake? alitoswa ndo akajidai nae mpinzani, Muulize mzushi SHIBUDA aliisifia sana CCM kufunga bunge hili katoswa eti nae kajidai mpinzaini. CHADEMA chaka la waliofulia Mungu wangu mkipata nchi manyanyaso yenu SIPATI picha. mengi hatuna tunataka elimu bure, afya bure wanacnhi wa arusha, ilemela, nyamagana na kwingine tuone fund mtatoa wapi, Mtaona mnasema ooh tutatekeleza ahadi mpaka tupate RAIS wakati wa kampeni hamjalisema hilo.
Pia vijana tuone mtawasaidia nini. maana mfuko ni huo wa Benki kuu unaosubiri TRA waweke makusanyo
 
Hakika wewe lazima utakuwa ni mkazi wa LINDI, RUFIJI au MTWARA
 
Mimi sijui kama watu walio ipigia kura ccm kama wana akili timamu,yaani napata wasiwasi sana tena mkubwa,kwasababu kwa karne hii mtu yoyote mwenye akili timamu awezi kukubali kuipigia kura ccm.Ccm ni wezi kila kona wanaiba kura wana mdhurumu kila mtu.:doh:
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom