brother mm mwenyewe nimeitwa ila jina la kampuni sikuskia vema maana naaply sehem nyingi mkuu plz nisaidiewakuu vipi?
nimepigiwa simu na kampuni flani niende kwenye interview siku ya jumanne na interview itafanyikia regency park hotel wameniambia hiyo hotel iko mikocheni.so nilikua naomba kuelekezwa kutokea ubungo napanda daladala za wapi ili kufika hapo kwenye hiyo hotel?
natanguliza shukrani
namba yangu 0712752600 naomba nitumie jina la kampuni kwa smswakuu vipi?
nimepigiwa simu na kampuni flani niende kwenye interview siku ya jumanne na interview itafanyikia regency park hotel wameniambia hiyo hotel iko mikocheni.so nilikua naomba kuelekezwa kutokea ubungo napanda daladala za wapi ili kufika hapo kwenye hiyo hotel?
natanguliza shukrani
upo sawaTeremka hapo mwenge panda daladala la Posta, shuka hapo Morocco panda daladala ya Kawe, Regency ipo katikati ya shoppers na kituo cha kwa mwalimu Nyerere kama bado kumbukumbu zangu zipo sahihi
Nashukuru mamaupo sawa
yaelekea hauna experience na haya mambo dogo,usidhani kila interview huwa inafanyikia Duce tu.Interview ya kampuni gan hyo inayofanyikia kwenye hotel ya kishua kama hiyo?
Hongera mkuu
sawa boss.yaelekea hauna experience na haya mambo dogo,usidhani kila interview huwa inafanyikia Duce tu.
Huyu yupo sahihi sana.Panda gari la kawe then shukia njia panda ya feza japo sio kituo rasmi ila utaomba msaada
sasa utanipa vipi lift ilihali nami ntakuwa na vitz yangu..??Saa moja na nusu asubuhi huwa napita hapo Ubungo na Prado yangu naelekea Masaki.
Ni-PM nikupe lift maana nitapitia njia hiyo.
sasa utanipa vipi lift ilihali nami ntakuwa na vitz yangu..??