Reforms zinahitajika kwenye baadhi ya Wizara za Serikali

Reforms zinahitajika kwenye baadhi ya Wizara za Serikali

Jemmy1

New Member
Joined
Sep 6, 2025
Posts
1
Reaction score
0
Inafikirisha kuona baadhi ya tasisi za serikali kuwa katika wizara ambazo siyo sahihi inakuwaje TEMESA iko wizara ya Ujenzi?

Ina maana mamlaka haizioni, nadhani wizara ya Ujenzi ungekuwa na taasisi ambazo zinahusika na ishu za Ujenzi lakini wizara yetu ya Ujenzi imejikita kwenye barabara tena za Trunk road na Regional Road

Inasikitisha pia kuona Wizara ya Tamisemi kuwaachia walimu na waganga kusimamia miradi iliyopo ndani ya shule na hospitali zao

Kwanini isiunde taasisi inayojitegemea kwa ajili ya kuhusika na Ujenzi wa miradi ya halmashauri ili kukwepa kelele nyingine na kuwapa kusimamia miradi watu amambo sio taaluma zao?

Imagine mwalimu anapewa kusimamia miradi wa shule it's possible? Ni muda sasa wa kufanya mabadiliko katika Wizara nyingi hasa Tamisemi na Ujenzi
 
Back
Top Bottom