Refari na mchezaji

Refari na mchezaji

Mahmood

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2008
Posts
7,908
Reaction score
2,478
Jamaa walikuwa wanacheza mpira. Kwa bahati mbaya mchezaji mmoja akaanguka na kuzimia. Refari alikuwa mzungu lakini wachezaji wote ni waswahili. Mchezaji mmoja akataka kumwambia refari (Mzungu) kuwa huyu jamaa kazimia. Akafikiria amwambie nini refarii kwa sababu refari hajui kiswahili. Akafikiria kuwa neno "kazi" ni "Job" kwa kizungu, na neno "mia" ni "hundred" kwa kizungu, akasema sasa nimejua nini nimwambie refarii, akamwendea refarii na kumwabia hivi "Hello refari this man kajob handred".
 
refa akamjibu mpaka akijob thousand ndo (stand)atasimamisha mpira!!
 
Dah, hichi ni tangu enzi za Chekeche. Nyine My Father is down and my mother is down naomba msaada.
 
Alikuwa na nia njema, Red cross watakuwa wamemuona.
 
Jamaa walikuwa wanacheza mpira. Kwa bahati mbaya mchezaji mmoja akaanguka na kuzimia. Refari alikuwa mzungu lakini wachezaji wote ni waswahili. Mchezaji mmoja akataka kumwambia refari (Mzungu) kuwa huyu jamaa kazimia. Akafikiria amwambie nini refarii kwa sababu refari hajui kiswahili. Akafikiria kuwa neno "kazi" ni "Job" kwa kizungu, na neno "mia" ni "hundred" kwa kizungu, akasema sasa nimejua nini nimwambie refarii, akamwendea refarii na kumwabia hivi "Hello refari this man kajob handred".

Napita tu
 
Back
Top Bottom