Mwamuzi wa kati Hance Mabena na mwamuzi Msaidizi Frank Komba wameondolewa kwenye orodha ya waamuzi kwa mizunguko mitano ya NBC PL ๐น๐ฟ kwa kuonyesha mapungufu ya kiuchezeshaji na kushindwa kutafsiri vyema sheria za mpira wa miguu kwenye mechi ya Simba dhidi ya Pamba Jiji.
Je, hawa wanastahili kufungiwa tu ama waondoshwe ? Timu iliyopoteza kwa maamuzi ya hawa inaweza kufidiwa point?