mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,097
- 7,863
Hoja nzuri ila umeiwasilisha kwa lugha za kiwendawazimuReferee wa Tanzania ndugu Arajiga ndie referee katili na asiyetaka masihara na kazi yake hapa bongo ..
Huyu jamaa nilianza kumuogopa nakumuona nuksi ile Siku alipomlima kitasa Ibrahim bacca kadi nyekundu dakika ya 16 mchezo kati ya Bingwa wa mabingwa , nguli wa soka la bongo "Yanga" dhidi ya shoga mwenzetu sisi makolo " Azam fc"
Ukweli nilipomuona pilato Arajiga pale kati, nilijua kabisa gemu ya Leo dhidi ya mbumbumbu wenzetu Azam efusii imeshakua ngumu. Hasa ukizingatia sisi Simba sc ni timu ya matahira kuanzia ngazi ya uongozi , benchi la ufundi mpaka sisi mashabiki maandazi akili zetu ni sawaa na abudala kichwa wazi au mwajuma Tako moja
Sisi mbumbumbu efusii hatuwezi kushinda bila msaada wa marefa sababu tuna wachezaji vinyambe wanaokimbiakimbia uwanjani kama wamebanwa mkojo..chezaji kama Ateba limejaa kama kiroba cha viazi litatufikisha wapi ?mchezaji anakimbia utasema anabawasili .
Arajiga ameifanya kazi yake vizuri na Siku ya dabi ,Yanga Africa wafalme wa soka la bongo watatupelekea moto sisi makolo mpaka maji tutaita
Kalpana ... sikiliza maneno ya mwanasimba mwenzakoReferee wa Tanzania ndugu Arajiga ndie referee katili na asiyetaka masihara na kazi yake hapa bongo ..
Huyu jamaa nilianza kumuogopa nakumuona nuksi ile Siku alipomlima kitasa Ibrahim bacca kadi nyekundu dakika ya 16 mchezo kati ya Bingwa wa mabingwa , nguli wa soka la bongo "Yanga" dhidi ya shoga mwenzetu sisi makolo " Azam fc"
Ukweli nilipomuona pilato Arajiga pale kati, nilijua kabisa gemu ya Leo dhidi ya mbumbumbu wenzetu Azam efusii imeshakua ngumu. Hasa ukizingatia sisi Simba sc ni timu ya matahira kuanzia ngazi ya uongozi , benchi la ufundi mpaka sisi mashabiki maandazi .Akili zetu ni sawaa na abudala kichwa wazi au mwajuma tingisha.
Sisi mbumbumbu efusii hatuwezi kushinda bila msaada wa marefa ,sababu tuna wachezaji vinyambe wanaokimbiakimbia uwanjani kama wamebanwa mkojo..chezaji kama Ateba limejaa kama kiroba cha viazi litatufikisha wapi ? .
Arajiga ameifanya kazi yake vizuri na Siku ya dabi ,Yanga Africa wafalme wa soka la bongo watatupelekea moto sisi makolo mpaka maji tutaita mmaa!!
Hahahaha, 🤣 🤣Refa bomu ndio maana kashindwa kutoA penati y wazi kis ataonekana anaibeba simba kadi nyekundu kwwa feisal kwa kuogopa lawama
Fei Toto alistahili kadi nyekundu kwa kosa lipi? Halafu ni tukio gani la penati hakutoa? Maana na mimi niliungalia ule mchezo mwanzo mwisho, na sikuyashuhudia hayo matukio mawili! Na mwamuzi alikuwa fair kwa pande zote mbili! Imagine Yusuph Kagoma na mwenzake Ngoma walicheza faulo za kutosha tu, lakini hawakupewa hata kadi ya njano!Refa bomu ndio maana kashindwa kutoA penati y wazi kis ataonekana anaibeba simba kadi nyekundu kwwa feisal kwa kuogopa lawama
NA GOLI LAKO LA OFFSIDE UJALIONARefa bomu ndio maana kashindwa kutoA penati y wazi kis ataonekana anaibeba simba kadi nyekundu kwwa feisal kwa kuogopa lawama
M23NA GOLI LAKO LA OFFSIDE UJALIONA
Penati unayoongelea? Ule mpira uliomgonga mchezaji wa Azam kifuani ndiyo iwe penati?Refa bomu ndio maana kashindwa kutoA penati y wazi kis ataonekana anaibeba simba kadi nyekundu kwwa feisal kwa kuogopa lawama
Mpwa hakuna offside hapo mnachora mistari kwa pensel hizo sema ingeweza kuwa offside au sio kwa wenzetu wenzetu wenye VAR sio bongo hata ule mpira alipiga Kibu Denis ilikua Offside ya wazi kabisaa ila kibendera na refa wake hawakuona kabisaa.
Swala la offside ni la mshika kibendera, na hata hivyo hakukuwa na offside pale mstari wako wa kujichorea hovyo hovyo ni nani aliyekwambia mistari ya offside huchorwa tu ovyoHapa alizidiwa