Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,221
- 2,425
๐ฏ๏ธ Kampuni ya Xiaomi imefanikiwa kutambulisha jina jipya kwenye soko la vifaa vya kieletroniki kimataifa inaitwa REDMI.
๐ฏ๏ธ Ukiangalia ni kama Mabadiliko mepesi kutoka "Redmi na kuwa"REDMI" lakini wamekuja na slogani yako wakisema Mabadiliko haya yataweza kuifanya simu zao kuleta muelekeo shupavu zaidi.
๐ Usichokijua kuhusu Ujumbe uliopo kwenye Neno REDMI ni kuwa inajihusisha na
โ๏ธ confidence
โ๏ธ Reliability Pamoja na
โ๏ธ Premium Quality bila kupunguza gharama yoyote ya ushindani.
๐ฏ๏ธ Muonekano huu wanasema watakuja kuleta Mabadiliko makubwa kwenye matoleo mapya ya simu zao ambapo Logo hiyo mpya imetambulishwa nchini india ila muda sio mrefu itaweza kutambulishwa ulimwenguni kote.
Unasemaje kuhusu Mabadiliko haya toka Kampuni ya Xiaomi ๐ฅบ ? #REDMI