Habari wakuu, nauza simu yangu binafsi ikiwa katika hali nzuri kabisa. Sababu ya kuuza ni kupata changamoto ya kifedha inayohitaji utatuzi wa haraka.
Sifa za Simu:
Model: Redmi Note 14 Pro 5G
RAM: 8GB
Storage: 256GB
Battery: 5500mAh (Inakaa na chaji vizuri sana)
Hali: Haina mchubuko wala tatizo lolote la kiufundi.
Warranty: Bado ip
Box: Hamna
Bei: TSH 600,000 (Mazungumzo yapo kwa aliye serious)
Mahali: Dar es Salaam
Mawasiliano: 📞 0789532647 (Piga au WhatsApp)
Simu haina shida yoyote, unaruhusiwa kuikagua vizuri kabla ya kufanya malipo.
Karibuni sana!