Leo nikiwa kwenye chombo cha usafiri nimesikia mtu anahubiri hasomi neno anaongea tu suala la msamaha jambo ambalo ni jema lakini kilichonishangaza ni huyu mtu kuwa mgumu sana kutaja jina la yesu.
Na mafundisho yake yameonesha kumtaja Mungu mfalme wa wafalme lakini Yesu na roho mtakatifu naona limekuwa gumu mno!!na akitaja anataja kiaina hebu mwenye ufahamu atujuze na sie tusio na dini tuelewe.
Ni kipindi cha saa sita hadi saa saba leo Jumatatu.
Naomba tuelimishane sina nia mbaya.
Umeona nimelazimisha rafiki?au umekurupuka tu!!tena huyo mtu mtangazaji anamuita mwalimu.Jamani anayeelewa naomba anisaidie ninahisi lile jambo lililosisitizwa kuna majasusi kanisani laweza kuwa kweli.Unamlazimisha mtu aamini unachoamini wewe ? Ndio maana kuna uhuru wa kuabudu
Toka mwanzo Injili ilishatiwa maji,toka vitabu 12 mpaka vinne,kwa hiyo ile dhambi ya mauzauza bado ina endelea.
Leo nikiwa kwenye chombo cha usafiri nimesikia mtu anahubiri hasomi neno anaongea tu suala la msamaha jambo ambalo ni jema lakini kilichonishangaza ni huyu mtu kuwa mgumu sana kutaja jina la yesu.
Na mafundisho yake yameonesha kumtaja Mungu mfalme wa wafalme lakini Yesu na roho mtakatifu naona limekuwa gumu mno!!na akitaja anataja kiaina hebu mwenye ufahamu atujuze na sie tusio na dini tuelewe.
Ni kipindi cha saa sita hadi saa saba leo Jumatatu.
Naomba tuelimishane sina nia mbaya.
Na wewe mzee wa kanisa badala utuletee hekima zako unasema hayatuhusu wakati redio inarusha mahubiri yenye shaka nusu saa nzima?hebu fafanua jambo ipasavyo,mie sijaja kuponda nataka msaada wenu au mniambie majasusi wa upande wa pili wamewazidi akili hadi mmeamua kulevel kila kitu.Yasiyokuhusu yaache.
kuelewa ni moja ya neemasijaelewa
Asante sana huu ni ujumbe hata kwa wale wasiotaka kuelewa na hii ndo sababu ya kuwepo redio za injiliInjili ni uweza wa Mungu uletao wokovu kwa kila aaminiye, ... {RUM 1:16}
Ujumbe wa Msalaba una nguvu ya Mungu
{1KOR 1:18
Ndugu yangu mambo hayo yapo sana siku hizi, kama hiyo radio ni ya kikristo ((nadhni ni ya KKKT) BASI VIONGOZI WAKE WALIANGALIE HILO, SI UNAKUMBUKA HATA HAO WANAOWEKA MABANGO YA PICHA ZAO BADALA YA KUHUBIRI INJIILI?
Ukiona hivyo huyo anayehubiriwa siyo Mungu Yehova, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo. Hata mimi huwa nashangaa sana mahubiri ya namna hiyo. Siku fulani niliabudu kanisa fulani, mchungaji aliyehubiri hakutaja jina Yesu Kristo hata mara moja kwa muda wote (almost 2 hours) aliosimama madhabahuni kuhubiri. Hakukemea dhambi wala kutaja neno dhambi. Hakika wana wa Mungu tumevamiwa, tuwe macho hizi ni nyakati za mwisho!