Redio ya sharo yaleta mauza uza...!!

Redio ya sharo yaleta mauza uza...!!

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,073
Reaction score
34,844

MSANII wa Kundi la Green Masage, linalorusha michezo yake kupitia Televisheni ya TBC, Daniel Mmasi ‘Face Brown’ amefunguka kuwa redio ya marehemu Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ aliyoinunua,

imemletea mauzauza Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, Daniel alisema alinunua redio hiyo ya ‘sabuufa’ kutoka kwa kijana aliyejulikana kwa jina la Suleiman (dalali wa mali za Sharo), lakini anapoizima

usiku, huwa inajiwasha yenyewe.

“Niliichomoa kwenye umeme wakati wa kulala, ghafla usiku nikasikia inazungumza wakati sikuichomeka

umeme, kuna siku nilikuwa narudi nyumbani kwa dirishani nikasikia inazungumza wakati asubuhi niliizima,” alisema Daniel ambaye ameamua kuirudisha redio hiyo kwa dalali bila kurejeshewa malipo yake.


REDIO YA SHARO YALETA MAUZA UZA...!! - GUMZO LA JIJI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom