Ahsante sana;Faida za digital radio.
1. Clarity ( usikivu mzuri)
hii ni kutokana na Mawimbi kusafirishwa kidigital. ( Digital waves) hivyo Sauti itakuja ikiwa na usikivu mzuri. Tofauti na FM unavyosikia redio ikifoka
2. Matumizi bora ya Frequency.
Kwa Digital, Frequence moja mfano: 350 Mhz. Inaweza kutumika na Redio zaidi ya 20 tofauti. Kwa Frequency iyooo unaweza pata radio nyingi tofauti na analogy. Mfano FM labda 88.5 Clouds FM Dsm. Radio moja kwa Frequency moja.
3. Universal Frequency/ Radio
Hii inamaanisha Radio itasikika nchi nzima kwa Frequency moja. Sio kama sasa hivi kwenye FM ambapo Clouds Fm Dar ni 88.5 ukienda Iringa ni 93.7 ikienda Moshi ni 89.3 ukienda Mwanza ni 90.0. iyo ni mifano tuu.
Soo Frequency moja itakuwa kwa radio moja nchi nzima
4. RDS/ Digital Radio
Hii inamaanisha ukiwa unasikiliza Radio utaweza kupata Na information ambazo zipo Embeded na information zake. Mfano Radio programs. Eg. Unaweza ukaona vipindi vinavyo Fuata. Kama vile kwenye DSTV
Clouds FM 92.9 iringaFaida za digital radio.

4. RDS/ Digital Radio Info Service
Hii inamaanisha ukiwa unasikiliza Radio utaweza kupata Na information ambazo zipo Embeded na information zake. Mfano Radio programs. Eg. Unaweza ukaona vipindi vinavyo Fuata. Kama vile kwenye DSTV
Ni leo ndo kulikuwa na mkutano wa wamiliki wa vituo vya mawasiliano na TCRA ili kujadili lipi la kufanya kuhusu mabadiliko hayo. Inabidi tujipange kuielimisha jamii kuhusu mabadiliko hayo.Kama TCRA ikiamua izime Analogy radio basi zitakuwa useless. Lakini itachukuw muda sana. Maana itabidi kuwe na Digital covarage ya nchi nzima kitu ambacho sio rahisi.
Mfano kwa sasa ni majiji na miji michache wanapata Terrestrial coverage. The rest wanatumia Satellite.
Kwa sasa hivi kuna Baadhi ya Ving'amuzi vinatoa Huduma ya Redio. Huo ni mfano wa digital Radio
Mchangiaji alisema ni 93.9 but ni 92.9Imekuwaje hiyo?
Nimesema mfano. Uwe unasoma. Hata Frequency izo nyingine nimeandika tuuMchangiaji alisema ni 93.9 but ni 92.9
Nilimissread mkuu,Nimesema mfano. Uwe unasoma. Hata Frequency izo nyingine nimeandika tuu