Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,428
- 191,698
Kama gari ina speaker nzuri tumia hivyo hivyo tu. Mie gari yangu speaker zake za kifala ila sina hela natumia kinyonge hivyo hivyo tu.Mie nimeuziwa 260k. Ngoja nione itadumu muda gani.
Sema nimeachana na sabufa kwanza, pesa sina.