Redio mpya za kisasa za magari

Redio mpya za kisasa za magari

Algeciras

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2016
Posts
349
Reaction score
330
20191024_145752.jpg
20191024_151641.jpg
20191024_145759.jpg
IMG-20191024-WA0005.jpeg

20191024_145747.jpg
 
Mi nikajua ni zile za Android meku, asante sana mkuu...

Ninayo redio ya design hio ila hilo wenge inanleteaga natamani kuitia hata nakoz niipasue pasue sema sijapata hela ya kuibadilisha tu. Inajibonyeza hovyo, mara inajiongeza sauti yenyewe, mara haisense touch mpaka ubonyeze reset. Inshort inachosha sana akili.

Nataka nifunge panel ya Android, Amp na Bass speaker nikiitoa hii Sheng-shui!
 
Model kama hii boss ni version ya 2019,zina improvement nyingi wameeka,hazisumbui kabisa.
 
Vipi Ulifanikiwa kubadilisha?au ilitulia.
Niko mbioni kununua Kama Hiyo ya mtoa post ila nataka kujua waliotumia..
Mi nikajua ni zile za Android meku, asante sana mkuu...

Ninayo redio ya design hio ila hilo wenge inanleteaga natamani kuitia hata nakoz niipasue pasue sema sijapata hela ya kuibadilisha tu. Inajibonyeza hovyo, mara inajiongeza sauti yenyewe, mara haisense touch mpaka ubonyeze reset. Inshort inachosha sana akili.

Nataka nifunge panel ya Android, Amp na Bass speaker nikiitoa hii Sheng-shui!
 
So ushauri wako Nini Katika hili?sihitaji kitu Cha gharama Sana..Lakini walau kidumu..
Mkuu hizi za kichina kama hio ni miyeyusho. Itakuzingua! Try buying Android zile naimani hazitakusumbua. Ukipata yenye ram kubwa lakini ndio itakuwa freshi walau 2GB RAM na ROM kuanzia 16GB
 
Ok shukrani..tatizo Bei zimechangamka na bado naambiwa Kuna feki

Kunazo za 250k ila nahisi ndio zitakuwa kichefu chefu, zile za laki 4 nahisi ndio zitakuwa freshi ila jaribu kupita mitaa ya Lumumba kwenye maduka ya jumla ya accessories za magari. Waeza pata ushauri zaidi.
 
Mie nimeuziwa 260k. Ngoja nione itadumu muda gani.
Sema nimeachana na sabufa kwanza, pesa sina.
 
Back
Top Bottom