Mangwea1900
JF-Expert Member
- May 29, 2025
- 2,484
- 3,272
Diaro tangia akose ubunge radio yake imeyumba Sana kiukweli mm mwenyewe hiyo ndo ilikuwa radio yangu tangia nina miaka 7Hili redio sijaielewa pamoja na kuwa na vipindi vizuri. Cha ajabu hii redio kuna wakati haipatikani hewani hata masaa masaa mawili ukifungulia redio utasikia inafoka tu.
Kila saa nne asubuhi kuna kipindi cha "Sintosahau" lakini ndo muda hautaipata hewani.
TCRA, jumuiya za walaji na mamlaka zingine tusaidieni tusipate shida ya afya ya akili na redio, television na hata ving'amuzi vyenye kuongeza shida katika hisia na akili za walaji
Na huwa inasikika kwa sauti nzuri sana ila ndo hivoUpo sahihi, mimi huwa nasikiliza BBC kupitia kwao ila ni siku 3 au 4 /7 ndiyo wanapatikana
Kuna kile kipindi cha watu wanatafutana waliopoteana sijui kama bado kipoKwa zaidi ya miezi miwili sasa hata tovuti yao haipo hewani www.radiofreeafrica.co.tz ambapo tulikuwa tunaweza kusikiliza RFA online
DialoDiaro tangia akose ubunge radio yake imeyumba Sana kiukweli mm mwenyewe hiyo ndo ilikuwa radio yangu tangia nina miaka 7
Watangazaji wote wakali walimkibia sasa hivi ile ladha imepotea kabisa no creativity no innovation .
Sijui yale mafao ya ubunge yana chuma uleteDiaro tangia akose ubunge radio yake imeyumba Sana kiukweli mm mwenyewe hiyo ndo ilikuwa radio yangu tangia nina miaka 7
Watangazaji wote wakali walimkibia sasa hivi ile ladha imepotea kabisa no creativity no innovation .
😆😆😆😆😆😆RFA ni marehemu anayetembea na sanda mtaani, kuna muda huwa anarudi kwenye kaburi...
Yupo wapi boss DialoDialo
Inasikitisha sana mkuu 😎RFA ni marehemu anayetembea na sanda mtaani, kuna muda huwa anarudi kwenye kaburi...
MwanzaYupo wapi boss Dialo
Atakuwa kabananishwaYupo wapi boss Dialo
juzi nilisikia kama sauti ya Wambura Mtani Jambo Radio ya Kahama, nae kashamkimbia Diallo?Diaro tangia akose ubunge radio yake imeyumba Sana kiukweli mm mwenyewe hiyo ndo ilikuwa radio yangu tangia nina miaka 7
Watangazaji wote wakali walimkibia sasa hivi ile ladha imepotea kabisa no creativity no innovation .