Redio bora kwangu na isiyochosha ni Clouds FM

Bwana weeeee clouds ilikua
Bonge la radio kuanzia 2007 huko
Yan ilikua tamu balaa kulingana
Watangazaj walikua vzr sana

Kuanzia pb,leo tena, xxl baba Lao,
Jahaz hasa kwenye mastory ya
Town, amplifaya, alaf unafunga

Na sports extra yani kitambo
Walikua vzr sana Ila now
Wanaboronga

Hyo Leo tena ungepata
Wakat kinaendeshwa na present
Dina Mario's Yan usingechoka
Kilikua vzr sana dada alikua
Mbunifu sana Yule kwenye
Kipindi chake

Musa alifit sana kwenye jahaz
Na kibonde Ila cjui kwann walimtoa

Pb bwana babra,hando na pj
Walinogesha sana kipindi
Na story zao huku bonge akimaliza


Xxl ilikua hot sana hapa d and, pale sudy Brown
Kule DJ kiduara,huku mchomvu
Pale kwa feeee na mwisho
Kwa present mwenyewe twanga la

Lakin pamoja na kuboronga
Bado wanaitesa sana bongo na
Mawimbi yote. Ya tz

stidy
 
Bwana weeeee clouds ilikua
Bonge la radio kuanzia 2007 huko
Yan ilikua tamu balaa kulingana
Watangazaj walikua vzr sana

Kuanzia pb,leo tena, xxl baba Lao,
Jahaz hasa kwenye mastory ya
Town, amplifaya, alaf unafunga

Na sports extra yani kitambo
Walikua vzr sana Ila now
Wanaboronga

Hyo Leo tena ungepata
Wakat kinaendeshwa na present
Dina Mario's Yan usingechoka
Kilikua vzr sana dada alikua
Mbunifu sana Yule kwenye
Kipindi chake

Musa alifit sana kwenye jahaz
Na kibonde Ila cjui kwann walimtoa

Pb bwana babra,hando na pj
Walinogesha sana kipindi
Na story zao huku bonge akimaliza


Xxl ilikua hot sana hapa d and, pale sudy Brown
Kule DJ kiduara,huku mchomvu
Pale kwa feeee na mwisho
Kwa present mwenyewe twanga la

Lakin pamoja na kuboronga
Bado wanaitesa sana bongo na
Mawimbi yote. Ya tz

stidy
Mi wengine naona wanacopy na kupaste

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Clouds wako vizuri kwenye redio lakini kwenye TV ni hovyo Sana na wamefeli kabisa kule kwenye TV,

Kwa upande wa redio wametake over ila kwa entertainment TV hapa bongo Kwasasa WASAFI TV wameshika hatamu ya uongozi,maana kila kona iwe saloon,bar&guest houses na maeneo mengine ya burudani kwa vijana na majumbani ni Wasafi TV,nadhani ni kwasababu ya programs nyingi kwenye TV yao,

Ila upande wa redio bado hamna kitu sana, labda sport's program's.
Anyways cloudsfmtz ni the best up to now,sijui Baadae maana ushindani unakuwa kwa kasi sana.
 
Back
Top Bottom