Redio bora kwangu na isiyochosha ni Clouds FM

Cloudz akitaka kukinogesha kipindi cha jahazi, inabidi wamchukue yule mtangazani wa East africa radio, yule mkenya sijui anaitwa IAN/ IRON(nadhani kipindi chao kinaitwa .... drive)

Yule jamaa akikaa na gadna kipindi kitakua bora sana
Hakika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una miaka mingapi? una kazi unafanya ya kukupatia kipato? au we ni twaarabu man 😂😂
 
Habari zenu wana jf
Nipende kukili kwamba sikua msikilizaji wa redio kwa mda mrefu sanaa lakini hii Corona imenifanya nisikilize redio mda mwingi kwakua nabaki nyumbani nikijilinda na haya maambukizi....

Nimevutiwa sanaa na redio clouds FM haswa kipindi cha LEO TENA pamoja na JAHAZI.. hivi vipindi vimejaa watu wenye utaalamu wa kutangaza na wasio chosha pamoja na maada mbali mbali pia na kuzichambua..

Namkubali sanaa Musa Hussein ama mwana DSM wa kipindi cha LEO TENA maana amekua mchambuzi asiye sHikiwa akili na mtu ni mtangazaji wa kuhoji ajali ni kiongozi serikalini au laa

Pia kipindi cha jahazi kuna jamaa ana bezi hivi na huyu Gadna hawa jamaa wanajua kutangaza wako vizuri mnooo kipindi chao unaweza ukawa unacheka tuu zile maada zao..

NAWAPONGEZA CLOUDS FM KWA UBUNIFU WENU HASWA KIPINDI HIKI CHA KUJIFUNGIA NDANI MMEKUA REDIO NUMBER MOJA KWANGU..

ni redio gani we unaona inavipindi vizuri isiyochosha haswa kwa sisi watu wazima..!!?

TUJILINDE NA CORONA

Sent using Jamii Forums mobile app
Matangazo bwena..radio bora ni choice fm
 
East africa radio pia wako vizuri kuna kile kipindi chao cha asubuhi kuna dada mmoja anaitwa Scola Kisanga kama sikosei amehama alikua anakitendea haki kwa kweli,kuna kipindi kingine yupo Zembwela nilikua naenjoy sana nikimsikiliza hakika.mchana pia yule Greyson Gidione ni mbunifu sana ni talented presenter ana tuvituvitu fulani sijui anatuchimbaga wapi!..siku hizi niko huku nalima viazi frequency hazishiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wana jf
Nipende kukili kwamba sikua msikilizaji wa redio kwa mda mrefu sanaa lakini hii Corona imenifanya nisikilize redio mda mwingi kwakua nabaki nyumbani nikijilinda na haya maambukizi....

Nimevutiwa sanaa na redio clouds FM haswa kipindi cha LEO TENA pamoja na JAHAZI.. hivi vipindi vimejaa watu wenye utaalamu wa kutangaza na wasio chosha pamoja na maada mbali mbali pia na kuzichambua..

Namkubali sanaa Musa Hussein ama mwana DSM wa kipindi cha LEO TENA maana amekua mchambuzi asiye sHikiwa akili na mtu ni mtangazaji wa kuhoji ajali ni kiongozi serikalini au laa

Pia kipindi cha jahazi kuna jamaa ana bezi hivi na huyu Gadna hawa jamaa wanajua kutangaza wako vizuri mnooo kipindi chao unaweza ukawa unacheka tuu zile maada zao..

NAWAPONGEZA CLOUDS FM KWA UBUNIFU WENU HASWA KIPINDI HIKI CHA KUJIFUNGIA NDANI MMEKUA REDIO NUMBER MOJA KWANGU..

ni redio gani we unaona inavipindi vizuri isiyochosha haswa kwa sisi watu wazima..!!?

TUJILINDE NA CORONA

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa mjini hakuna radio itakayoifikia EA RADIO.

Kwa kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I'm always in move,,88.5 that's my baby..88.7 nikiwa mndenyi(moshi)
 
Wasafi FM sijui wanakwama wapi walikuja kwa mbwembwe sana ila wanacopy tu vipindi yaani hovyo kweli.
 
Ukitaka redio yako isikilizwe vizur au tv yako iangaliwe na wengi muweke Sebo na Salama J kwa upande wa DJ muweke Mafuvu hapo studio na kipindi kitang'aa creativity inafanya kaz
 
hakuna kitu siku hizi wanagumia gumia tu pamoja na kujisifia kama ni watu unique!
Takataka tupu!
 
Habari zenu wana jf
Nipende kukili kwamba sikua msikilizaji wa redio kwa mda mrefu sanaa lakini hii Corona imenifanya nisikilize redio mda mwingi kwakua nabaki nyumbani nikijilinda na haya maambukizi....

Nimevutiwa sanaa na redio clouds FM haswa kipindi cha LEO TENA pamoja na JAHAZI.. hivi vipindi vimejaa watu wenye utaalamu wa kutangaza na wasio chosha pamoja na maada mbali mbali pia na kuzichambua..

Namkubali sanaa Musa Hussein ama mwana DSM wa kipindi cha LEO TENA maana amekua mchambuzi asiye sHikiwa akili na mtu ni mtangazaji wa kuhoji ajali ni kiongozi serikalini au laa

Pia kipindi cha jahazi kuna jamaa ana bezi hivi na huyu Gadna hawa jamaa wanajua kutangaza wako vizuri mnooo kipindi chao unaweza ukawa unacheka tuu zile maada zao..

NAWAPONGEZA CLOUDS FM KWA UBUNIFU WENU HASWA KIPINDI HIKI CHA KUJIFUNGIA NDANI MMEKUA REDIO NUMBER MOJA KWANGU..

ni redio gani we unaona inavipindi vizuri isiyochosha haswa kwa sisi watu wazima..!!?

TUJILINDE NA CORONA

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka huenda umepewa kitu kidogo ili upige promo huyo Gadner yeye bila kutaja uchi hajisikii,kipindi cha michezo bila kuitukana Yanga sc sio kipindi, wakina Masoud kazi yao kujisifu wako na good life yaani ni takataka!!
 
Hata wewe unayejidai clouds huisikilizi kabisa , kimya kimya unakili kuna kipindi kinoja wapo lazima huwa unakisikiliza[emoji3][emoji3][emoji3] clouds fm kila kipindi kime lenga group flani la watu ..sasa wewe isifie eatv au wasafi halafu ukiangalia vipindi vyao hakuna ubunifu wowote ni kelele tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom