Anajifanya haoni mara
Dada umenifanya nitabasamu bure.
Yaani mameno yako yamepeenya kabisa na kuingia mahali stahili.
Ni kweli kabisa, we need to be happy and lough today coz tomorrow is not promising
Love you always
Nafurahi nimeweza kukufanisha utabasamu dear... Me love you too mamie. :love:
Kuwa na weekend njema pamoja na wapendwa wako.
hahaah freethinker usijitie upofu
Asante sana baba watoto. Upendo ni likewise... K mie huwa nashangaa wale wanao complicate maisha! Lol
Waige maisha yetu ya ndoa na familia, we are all so happy, wewe, Gf na sasa Demba. Mie nalea watoto, Gf anasaidia kuongeza kipato na Demba ndio muwakilishi wetu kama wife kwa sasa. Kila mtu ana nafasi yake kwako, ila mwisho wa siku nashukuru umesha wajulisha hao wadogo zangu kuwa no matter what kituo ni hapa kwangu lol - inafanya waniheshimu sana na mimi niwaheshimu pia kwa heshima yao... Mengine yanafuata tu mkondo 😎
Wenye wivu wajinyonge au waombe maujanja! Lol
Mwallu vipi dear? :smile-big:
Usiwajalii kabisa wakutugombanisha mamie. BTW Demba tafadhali niite dada... Ukiniita mke mwenza mahasidi na wafitini watafikiria hatupendani na hali itakuwa si kweli. :busu
sema wifi langu habari ya weekend?
@Kaizer umemaliza swaiba.
Huyu Arushaone ameshakuwa NYUKI WA MASHINE...na Lady doctor ameamua kumhifadhia siri.
Afu anakuja na visingizio vya kustaafu USUWATI.
Umekwisha kazi yako Arushaone...yaani KWISHNEY
CC Mzee wa Rula, PakaJimmy, Filipo Arabela
Rejea safari ya Korogwe....white parrot...stand....JT
Asante sana baba watoto. Upendo ni likewise... K mie huwa nashangaa wale wanao complicate maisha! Lol
Waige maisha yetu ya ndoa na familia, we are all so happy, wewe, Gf na sasa Demba. Mie nalea watoto, Gf anasaidia kuongeza kipato na Demba ndio muwakilishi wetu kama wife kwa sasa. Kila mtu ana nafasi yake kwako, ila mwisho wa siku nashukuru umesha wajulisha hao wadogo zangu kuwa no matter what kituo ni hapa kwangu lol - inafanya waniheshimu sana na mimi niwaheshimu pia kwa heshima yao... Mengine yanafuata tu mkondo 😎
Wenye wivu wajinyonge au waombe maujanja! Lol
maji yana tabia moja, huwa hayazuiliki, yanaonyeswaga njia tu inapobidi. vivyo hivyo na ukweli....huwa haukubali kupindishwa...sasa basi hebu tuache historia ifanye kazi yake apa
CC Arushaone ....kwa kumbukumbu
Lady doctor .....kwa taarifa
BCC KOKUTONA Arabela Filipo Lily Flower Mzee wa Rula PakaJimmy
Wanchekesha bibie! BTW mzima wewe na wote?
Hata ubishe, wewe ndiwe Mswati wa kizazi kipya.
Oh,thank fine you famili,welkam to the week end word Ladymasa
Msalm mkeo Marry Hunbig
Hili jina lilinichukua muda kulizoea! Nilikua naona "Marry Handbarg"