Weera weraaaa
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 740
- 657
- Thread starter
-
- #41
kama lugha imekushinda si uache kuandika
mijitu ya facebook utaijua tu
Free Thinker,
Wanasema ng'ombe haozi maini :tongue:. Ule uwezo wa pande zile mie nilisha staafu kabaki mdogo wangu gfsonwin. Na kama ujuavyo baba watoto Kaizer hawezi kutoshelezwa na mmoja :wink2: Hivyo ikabidi mimi na Gf tukubaliane kabisa achague mwingine tumfahamu badala ya kuibiwa huko vichochoroni. Lol.
Nashukuru sana kwa kunilindia huyu baba, ila naombeni mumuache mdogo wangu DEMBA apumuwe! 😛hoto:
Duuuu... nilikuwa machimboni sikujua yote haya yaliyoendelea humu!!!!oyaa Free Thinker umejiunga 2013 unamfaham AshaDii mke wangu?
Ni hivi, wake zangu, AshaDii, gfsonwin, na DEMBA ndo mupyaaa kabisa, kichuna wangu, anapewa mafunzo na dada zake bila tatizo. upo apo?
Baada ya kusema hayo, unaweza kuja PM kuniambia ID yako ya zamani kabla sijagugo?
BCC Asprin kwa utekelezaji
maji yana tabia moja, huwa hayazuiliki, yanaonyeswaga njia tu inapobidi. vivyo hivyo na ukweli....huwa haukubali kupindishwa...sasa basi hebu tuache historia ifanye kazi yake apa
CC Arushaone ....kwa kumbukumbu
Lady doctor .....kwa taarifa
BCC KOKUTONA Arabela Filipo Lily Flower Mzee wa Rula PakaJimmy
Eti unasema Arushaone ni nani??? cc M23Kaizer umemaliza swaiba.
Huyu Arushaone ameshakuwa NYUKI WA MASHINE...na Lady doctor ameamua kumhifadhia siri.
Afu anakuja na visingizio vya kustaafu USUWATI.
Umekwisha kazi yako Arushaone...yaani KWISHNEY
CC Mzee wa Rula, PakaJimmy, Filipo Arabela
Rejea safari ya Korogwe....white parrot...stand....JT
aiseee
ahsante. unajua mke mwenza watu wanataka kutugombanisha tu. tusiwape nafasi kabisa.
Imebidi nicheke kimoyo moyo, maana nikicheka kwa sauti wacheka nini nitashindwa kueleza kinachonichekesha
Ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaa........ madam AshaDii utabaki kuwa the queen of JF ever,lol!!!!
Kaizer umemaliza swaiba.
Huyu Arushaone ameshakuwa NYUKI WA MASHINE...na Lady doctor ameamua kumhifadhia siri.
Afu anakuja na visingizio vya kustaafu USUWATI.
Umekwisha kazi yako Arushaone...yaani KWISHNEY
CC Mzee wa Rula, PakaJimmy, Filipo Arabela
Rejea safari ya Korogwe....white parrot...stand....JT
Duuuu... nilikuwa machimboni sikujua yote haya yaliyoendelea humu!!!!
Check ur PM!!!!!
Free Thinker,
Wanasema ng'ombe haozi maini :tongue:. Ule uwezo wa pande zile mie nilisha staafu kabaki mdogo wangu gfsonwin. Na kama ujuavyo baba watoto Kaizer hawezi kutoshelezwa na mmoja :wink2: Hivyo ikabidi mimi na Gf tukubaliane kabisa achague mwingine tumfahamu badala ya kuibiwa huko vichochoroni. Lol.
Nashukuru sana kwa kunilindia huyu baba, ila naombeni mumuache mdogo wangu DEMBA apumuwe! 😛hoto:
Pale upatapo nafasi ya kufurahi na kucheeka! Fanya bila kificho na ikumbatie... Cheka ufurahi hadi unenepe! Lol, na jino la mwisho lionekane. Ili ikitokea wakati wa majonzi, umshukuru Mungu kuwa kuna wakati alikupa furaha na kicheko pia.
Dada umenifanya nitabasamu bure.
Yaani mameno yako yamepeenya kabisa na kuingia mahali stahili.
Ni kweli kabisa, we need to be happy and lough today coz tomorrow is not promising
Love you always