Wenye REDET ndio wenye TEMCO, Dr. Bana yuko busy kuorganize waangalizi wa ndani wa uchaguzi mkuu zaidi ya 7,000, nchi nzima Tanzania na Zanzibar ambao watakuwa kwenye kila kituo mwanzo mwisho.
Matokeo ya utafiti wao wa mwisho, watayatoa katikati ya October, two weeks kabla ya uchaguzi just to set trend kwa ushindi wa CCM, amini nakuambia, hiyo ripoti itaonyuesha ushindi wa kishindo kwa CCM na wapinzani Chali!, kuwashawishi wapiga kura this time ni CCM tena!, ila Watanzania wameamka, hawadanganyiki tena, watashangaa na surprise ya October 31!, na nadhani ndio utakuwa utafiti wao wa mwisho wa hali ya siasa nchini.