tax compliant
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 1,211
- 1,200
😀😀😀Inafurahisha mkuu, hawa wafanya biashara hawa waache tu.mzee mfukunyuku wewe
😀😀😀Inafurahisha mkuu, hawa wafanya biashara hawa waache tu.mzee mfukunyuku wewe
Bei ya jumla unauzaje boss? Na unapatikana wapi?
Kwa Dar kuletewa ulipo ni BURE. Kama upo nje ya Dar nijulishe ulipo na ukubwa wa oda yako nikupatie bei tufanye biashara.Mkuu gharama za kuletewa Zina cost kiasi gan?
Ina ABV 14.1%Ina %ngapi?
Karibu tuitiishe kiu yako. Tuko tayari kukuhudumia na itakuwa faraja kwetu kukuhudumia.Nmepata kiu ghafla