Hahahah haya bwanaLOL nitashuru maana pia kutofautisha rangi kwenyewe kunanishinda hasa blue na kijani, pink na puple hapo sijuagi kabisaaaaaaa.. ila nyeusi na nyeupe no p
Hahahah haya bwana
Sasa tuanze na baby steps lol
hapo kwenye hiyo lap top yako
nenda kwenye uwanja inaitwa "google"
halafu type"rainbow" hapo ndo mahali kila
mtu anapata rangi yake sasa jaribu na wewe ea
haahahaha lol
wana uchaguzi a hali ya juu sana
utazani hatujazaliwa khaaaaa
mmmhh labda tumeshushwa...
but i don't blame them at all
wapunguze masifa kidoncho tu ......
Dada kama MHEMKO kwako unapatikana tu kwa kuvaa red, basi unahitaji ushauri nasahaRed imekaa kimahaba zaidi!...inaleta mhemko;-)
Hahahah
Mdogo mdogo tu
labda tutafika maana mmhh
wakianza kuongelea "what's hot and not"
mmmhh I step backwards hahahah lol
nakuunga mkno sana kaka. me napenda white sana pia nachukia nyekundu kuliko zote.
sina ngua hata moja nyekundu.
tupo pa1 mpenzi, kwa upande wa ndani napenda sana sana white na pink kishkaji...red haijawahi kunihamacsha hata kidogo.
Nyamayao jaribu siku moja tu kama kuna shem - tafuta lingerie red hot ambayo umekukaa kwelikweli (achana nawe kutoipenda kwanza) alafu umsome siku hiyo expression; ndo utashangaa anakusifu umependeza lakini hataki watu wakuone! ...LOL... alafu kama inawezekana uni PM fidbak mana am curious, achana na hizi sa kawaida ambazo unavaa wakati unajua hamna atakae kuona.
ngoja nijaribu my dear then nita ku pm week hii haiishi, hiyo pink yenyewe yeye ndio alinifanyia mabadiliko nimezoea/alinikuta ni full white, ntakupa feedback....
ngoja nijaribu my dear then nita ku pm week hii haiishi, hiyo pink yenyewe yeye ndio alinifanyia mabadiliko nimezoea/alinikuta ni full white, ntakupa feedback....
mie nikiona Red tu mambo hayaeleweki tena....mshituko wa damu unaanza, haijarishi iko ndani au nje au anywhere tuuu.....
Orite....mi nitam-pm kwa niaba yako....
So hujui kwamba mi na nyeupe kwisha kazi?
Inaficha uchafu sio nzuri kwa mwanamkeranngi yaudongo je?lol
ngoja nijaribu my dear then nita ku pm week hii haiishi, hiyo pink yenyewe yeye ndio alinifanyia mabadiliko nimezoea/alinikuta ni full white, ntakupa feedback....