Recycled paper

Recycled paper

Acha Dhambi

Senior Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
147
Reaction score
46
Natafuat recycled paper kwa ajili kutoa copy za mitihani nahitaji kwa katoni. Hii ni baada ya bei ya karatasi za kawaida kuwa juu kiasi cha kushinda kuendesha biashara hii. Aina ya karatasi ni A4 plain pia kama una ushauri wowote wa upatikanaji wa karatasi nisaidie na uwezo wangu ni mdogo kwa mwaka mahitaji yangu ni katoni 30
 
Back
Top Bottom