Recycle bin

Jodeo

JF-Expert Member
Mar 10, 2015
1,286
1,328
1. Baada ya kufuta files kwenye recycle bin huwa zinaenda wapi? Na je, inawezekana kupata hizo data baada ya kuwa zimefutwa kwenye recycle bin?

2. Kwa upande wa simu, data pia huwa zinaenda wapi tunazofuta. Hasa SMS? Kuna namna ya kuzipata tena?

Msaada tafadhali.

~Jodeo~
 
Kwenye computer ukifuta kitu kwenye recycle bin basi ndio umekifuta kabisa , na kukipata hadi utumie software maalum na sio kazi rahisi.

Kwenye simu pia ukifuta mara moja ndio basi tena. Kupata lazima utumie kifaa maalumu ( simcard reader) kama sms zilikuwa kwenye sim card
 
Back
Top Bottom