Habari wakuu,
Tafadhari mwenye kufahamu jinsi hizi recruitment zinavyopata revenue zake. Maana kuna tetesi kuwa wakimtafutia mtu kazi kila mwez anakatwa kiasi furan mpaka atakapoiacha hiyo kazi, je ni kweli?
Kama ni kweli, je hii ni haki? Ipo kisheria? Tafadhari nisaidien wakuu