recruitment agencies

recruitment agencies

Joined
Feb 20, 2013
Posts
33
Reaction score
5
Mbona naona kama these agencies are not helpful jamani, mtu unasambaza CV kote ila none of them hata kuita kwenye interview does it mean mimi sina kigezo hata kimoja katika hizo kazi wanazoletewa au ni nini? Yaani sijui maana ya kusoma sasa, ukiwa fresh graduate bila expirience you are in trouble. Tunafundisha nini wadogo zetu na hii hali.:angry:
 
CV yako umeiandika vizuri na umesomea hasa nini??
 
mie mwenyewe nshakata tamaa ht kuwapelekea hao wa2 tena!.
 
Tatizo kubwa ni uandishi wa CVs.. lazima iweze kuonyesha unajua nini cha ziada kuliko wengine(competitive edge)..
 
kazi sana kupata kazi,poleni wandugu!!!!!!!!!!
 
CV yako umeiandika vizuri na umesomea hasa nini??

nimsoma computer science na CV am 100% sure nimeandika vizuri na kwa msaada wa some people I know wanaiterview watu, so I believe its perfect written
 
Mhh nachangia kidogo, labda weka orodha ya agencies ulizowahi kuwapa cv yake, inawezekana pengine agents wengine huwajui , na huenda hao ndio wangeweza kukuita na kuku unganisha na waajiri. Tukipata orodha tutajazia usowajua, mbona jamaa wanaita watu vizuri tu na watu wanabamba mizigo tena mirefu.
mbona naona kama these agencies are not helpful jamani, mtu unasambaza CV kote ila none of them hata kuita kwenye interview does it mean mimi sina kigezo hata kimoja katika hizo kazi wanazoletewa au ni nini? yaani sijui maana ya kusoma sasa,ukiwa fresh graduate bila expirience you are in trouble. tunafundisha nini wadogo zetu na hii hali.:angry:
 
Mm nakushauri usikate tamaa kabisa ila muombe sana mungu kwani hata nguvu za giza pia zipo. kama uliweza kusoma mpaka ukamaliza ni mungu alikufanikisha akiwa amekuwekea kaz yako mbele hvo usikate tamaa.napenda sana huu msemo kwamba haki ya mtu haipotei bali inacheleweshwa tu, hvyo kuwa na iman kaz yako ipo na wakati ukifika utaipata tu.
 
nimsoma computer science na CV am 100% sure nimeandika vizuri na kwa msaada wa some people I know wanaiterview watu, so I believe its perfect written

Ok powa kabisa hapo sasa nimekuelewa vizuri, ila kwa masomo yako mbona ilibidi upate kazi straight sidhani kama wangekuchelewesha au laah, also masomo yako unaweza kufanya kazi nyingi, sasa vile vile usitegemee tu agency the same time kama unapata nafasi pia nenda hata kwenye maoffice na acha CV yako huko, unaweza kuona kama unapoteza muda ila utafanikiwa tu trust me, na final year grades zako ulipata nzuri??
 
mbona naona kama these agencies are not helpful jamani, mtu unasambaza CV kote ila none of them hata kuita kwenye interview does it mean mimi sina kigezo hata kimoja katika hizo kazi wanazoletewa au ni nini? yaani sijui maana ya kusoma sasa,ukiwa fresh graduate bila expirience you are in trouble. tunafundisha nini wadogo zetu na hii hali.:angry:
Wa kuilaumu ni Serikali yako na wala sio hizo agencies.
 
nikwel aisee hata mimi nimesambaza cv karibu hizo agencies zote ila hadi mda huu cjawah kuitwa hata interview yoyote kwenye hiz argencies
 
Back
Top Bottom