Recover your deleted contacts

Hckcode8

JF-Expert Member
Apr 25, 2016
370
245
Habari za humu wakuu!!

Natumai wote ni wazima na mnaendelea na ujenzi wa taifa letu, bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada husika.

Wengi wetu tumejikuta tukipoteza namba nyingi za simu za watu wa muhimu na kutozipata tena au kuzipata kwa shida sana . Sasa leo kwa ufupi tutajifunza kurudisha majina yako kupitia Facebook Lite.

So fuata hatua zifuatazo

(1) Install Facebook Lite katika simu yako

(2) Log in then nenda setting

(3) Chini kabisa utakuta option mbili moja ni imported contacts na contact uploading

(4) Enter hapo kwenye imported contacts na utaona contacts zako zote

(5) Ili kupata namba select SHOW OTHER INFORMATION na itakubidi ucopy na usave upya

Kama kuna tatizo usisite kuuliza kwenye comment.

NB: TUMIA FB LITE TU ILE OFFICIAL HAINA HII KITU

Aaron

Screenshot_20191025-142757.png
Screenshot_20191025-142809.png
Screenshot_20191025-142916.png

Screenshot_20191025-142738.png
 
Vipi kwa mtu ambaye hajawahi kuwa na Facebook na anataka kurudisha namba kutoka kwenye simu iliyoibiwa/kupotea.? Pia haku-save namba kwenye Gmail, google contact wala popote pale namba zilikuwa kwenye lain tuu
 
Back
Top Bottom