Pamoja sana chambuzi nguli la JfLipo la kuongezea hapo
Ukumbuke kwenye mechi za kimataifa tukiitoa Zalan kama ambavyo tumekubaliana, utaona Mayele pamoja na kucheza mechi 4 lakini bado kazidiwa idadi ya magoli na Opah aliyecheza mechi 2
Eti chambuzi nguli. Lol. 😅😅Pamoja sana chambuzi nguli la Jf
Nabi
Yanga 1-1 Al Hilal
Al Hilal 1-0 Yanga
Yanga 0-0 Club Africain
Yanga 0-2 Viper
Mechi ya Zalan tunaifuta ile sio timu ya maana.
Ikumbukwe kwamba toka aje Yanga hajawahi kushinda mechi ya maana ya kimataifa.
Juma Mgunda
Nyasa 0-2 Simba
Simba 2-0 Nyasa
Agosto 1-3 Simba
Simba 1- 0 Agosto
Juma anakupiga ndani na nje huku mpira ukitembea
.....nitaendelea baadae kuchambuad bu
Hasibu la uchunguNabi
Yanga 1-1 Al Hilal
Al Hilal 1-0 Yanga
Yanga 0-0 Club Africain
Yanga 0-2 Viper
Mechi ya Zalan tunaifuta ile sio timu ya maana.
Ikumbukwe kwamba toka aje Yanga hajawahi kushinda mechi ya maana ya kimataifa.
Juma Mgunda
Nyasa 0-2 Simba
Simba 2-0 Nyasa
Agosto 1-3 Simba
Simba 1- 0 Agosto
Juma anakupiga ndani na nje huku mpira ukitembea
.....nitaendelea baadae kuchambua
Mpe maji😂TBT leo
Ni mwajiliwa wa Simba huyo hivyo timu zote za Simba ndio mtegemezi wao. Ngoja uone Fadlu akiboronga atakavyoitwa amalizie msimu.
Chambuzi nguli la Cuf hayupo nyuma kwenye 1 na 2Lipo la kuongezea hapo
Ukumbuke kwenye mechi za kimataifa tukiitoa Zalan kama ambavyo tumekubaliana, utaona Mayele pamoja na kucheza mechi 4 lakini bado kazidiwa idadi ya magoli na Opah aliyecheza mechi 2
Eti nitaendelea baadae kuchambua haya njoo uchambue mchele......nitaendelea baadae kuchambua
CPAHuyu mhasibu feki. Na hofu na uhasibu wake
Mpaka LeoKudadadeki huu uzi unatia uchungu
UgwaduMwasibu uchungu kauzoea.
Hadi nimecheka. Lol.Eti 'zinatia uchungu 'dah title nyingine ni kujitafutia aibu tu😂🤣🤣