Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Raisi wa USA Obama amevunja rekodi kwa kuwa Raisi aliyeangusha mabomu mengi kuliko Raisi yoyote wa USA aliyeongoza kipindi cha amani, Raisi Obama ameangusha Mabomu zaidi ya 26,000 na amezipiga Mabomu nchi saba (7) zikiwemo mbili za Kiafrika Somalia na Libya, hii ni sawa Mabomu 72 kwa siku au matatu kwa kila lisaa hii ni kulingana na utafiti uliofanywa na Council of foreign Relations!