Jamaa hawakuelewi aisee.
Anyways, kama unatumia nokia nenda kwenye nokia store (Ovi) utafute na kudownload kitu inaitwa "Rseven", hiyo ni mwisho wa matatizo.
Utaitumiaje, kurekodi simu ya mkeo sijui demu au nyumba ndogo hiyo ni juu yako. Wasikufuatefuate siyo?!
Kama hutumii nokia mjomba sina msaada...