Record management

una boyfriend?? Nimetokea kukupenda gafla.. Naomba uwe mpenzi wangu.. Nipo g/mboto pia. Nitumie pm.
we MBOOYA kumbe mkorofi ee utapigwa na ANTHONY KWEKA, maana hizi comments zote zina mfikia jamaa yeye zaituni hayupo registered JF labda Anthony akamfikishie ujumbe ukiona ameku PM ujue ni mwanaume mwenzako sasa sijui.....................
 
599341_526422934075790_1398138141_n.jpg

aangalie kwenye ile post ya kwanza tushamwelekeza kuna zile za utumishi na nyingine za CWT ajaribu, pia mimi bado namlaumu Anthony Kweka kwa nini aje amuanike mwenzake humu jf? kwani jf 50% ni kweli 50% ni udaku pia naungana na yule aliye comment kama alikuwa mpenzi wake na amempiga chini, inawezekana ikawa hivyo kwani nimejaribu kugoogle ni kweli ZAITUNI ULOTU amemaliza TPSC TABORA DRM, na kwenye FB hiyo picha ni Profile yake na wamepiga wote sasa kwanini yy ame edit picha na ameacha ya mwenzake si angeacha kama ilivyo ili na yeye ajianike humu, pia ukiangalia marafiki wake wa FB huyo ANTHONY KWEKA yupo na wamepiga picha ya pamoja na inaonyesha hata sekondari wamesoma wote dhahiri walikuwa wapenzi na wameachana, na huyo anthony kweka katumia jina hili hili na kama ni kweli inaonekana mwajiriwa wizara ya elimu sasa yy anashindwa kumtafutia mwenzie kazi hadi aje kumuanika humu? hata kama wameachana siyo kiivyo au ndio ugeni maana inaonekana JF kaingia tarehe 26 March 2013, sasa sijui ni ushamba au kihelehele, namuonea huruma mwanamke mwenzangu huko aliko, hata hajui kinachoendelea JF kuhusu yy

HATA MM NIMEKUBALIKATIKA Facebook YA ANTHONY kWEKA KUNA PICHA YA ZAITUN OLOTU
Kweli si busara kumuombea mwenzake nafasi ya kazi ilichotakiwa anthony amfungulie A/C yake Zaitun Olotu ili aombe mwenyewe kitendo cha kumuweka mwenzako hapo si cha kiungwana hata km mmeachana ni bora Mods waitoe hii thread ili kumnusueu huyu Bint ANTHONY KWEKA uwe unasoma masharti ya hili Jukwaa kwani yapo kila mwishi/ chini ya kila kurasa wameeleza
[h=3]Privacy Policy[/h] We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

Read our Privacy Policy. Proceed here...

na kwa vile ww ni m,walimu hukupaswa kufanya hivyo
 
Last edited by a moderator:
aangalie kwenye ile post ya kwanza tushamwelekeza kuna zile za utumishi na nyingine za CWT ajaribu, pia mimi bado namlaumu Anthony Kweka kwa nini aje amuanike mwenzake humu jf? kwani jf 50% ni kweli 50% ni udaku pia naungana na yule aliye comment kama alikuwa mpenzi wake na amempiga chini, inawezekana ikawa hivyo kwani nimejaribu kugoogle ni kweli ZAITUNI ULOTU amemaliza TPSC TABORA DRM, na kwenye FB hiyo picha ni Profile yake na wamepiga wote sasa kwanini yy ame edit picha na ameacha ya mwenzake si angeacha kama ilivyo ili na yeye ajianike humu, pia ukiangalia marafiki wake wa FB huyo ANTHONY KWEKA yupo na wamepiga picha ya pamoja na inaonyesha hata sekondari wamesoma wote dhahiri walikuwa wapenzi na wameachana, na huyo anthony kweka katumia jina hili hili na kama ni kweli inaonekana mwajiriwa wizara ya elimu sasa yy anashindwa kumtafutia mwenzie kazi hadi aje kumuanika humu? hata kama wameachana siyo kiivyo au ndio ugeni maana inaonekana JF kaingia tarehe 26 March 2013, sasa sijui ni ushamba au kihelehele, namuonea huruma mwanamke mwenzangu huko aliko, hata hajui kinachoendelea JF kuhusu yy
Tumshauri basi aitoe hiyo picha! tusihukumu sana!!!!
 
599341_526422934075790_1398138141_n.jpg

HATA MM NIMEKUBALIKATIKA Facebook YA ANTHONY kWEKA KUNA PICHA YA ZAITUN OLOTU
Kweli si busara kumuombea mwenzake nafasi ya kazi ilichotakiwa anthony amfungulie A/C yake Zaitun Olotu ili aombe mwenyewe kitendo cha kumuweka mwenzako hapo si cha kiungwana hata km mmeachana ni bora Mods waitoe hii thread ili kumnusueu huyu Bint ANTHONY KWEKA uwe unasoma masharti ya hili Jukwaa kwani yapo kila mwishi/ chini ya kila kurasa wameeleza
Privacy Policy

We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

Read our Privacy Policy. Proceed here...

na kwa vile ww ni m,walimu hukupaswa kufanya hivyo
Guys punguzeni jazba, Labda hakusoma privacy Policy and may be hakua na nia mbaya kwa kuweka pic! Oyaaaa Anthony na we funguka basi mbona uko kimya?????
 
Naitwa ZAITUN A. ULOTU
ninaishi Gongolamboto.
Nina diploma ya fani tajwa hapo juu niliyoisomea na kupata ktk chuo cha uwazili Tabora 2011.
Nimefanya kazi za kujitolea na sasa ninahitaji kazi ya kuajiriwa.
Pia naweza kazi za mapokezi 'receptionalist' na secretary
Kwa mawasilano.
Zaituniulotu@yahoo.com

Ni uwazili au Uhazili...by the way be serious utafute kazi na kufanya maisha....nawajua madada wanaopita chuo cha Uhazili Tabora....wamezoea maisha ya kusadikika....usipende pia kuwa unaweka picha yako mitandaoni unless umeambiwa kufanya hivyo....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom