Recipe pilipili kwaajili ya biashara

lossoJR

JF-Expert Member
Oct 11, 2012
2,711
2,382
Habari wapishi na walaji.

Nina wazo la kuanza kuuza hizi pilipili kwa ku TENGENEZA na Kupaki. Kwa yule anaefanya hii biashara au mwenye ujuzi wa Kuandaa hii kitu anipe maujuzi jinsi ya uandaaji(recipe) na sehem za kupata Vifungashio.

Ahsante

500f84b86091100c5b551ea40dcb433d.jpeg
 
Back
Top Bottom