kwenye mafao hapana, ila kwenye cheo na mshara ni kweli
Kama ulikuwa Senior officer kwenye Kada X
Ukienda kada Y utaanzia pale pa kuanzia Eg. Officer II
Let say Una diploma ya kada X same time una degree ya kada Y na uliajiriwa kwa kwa diploma kwenye kada X may be ambayo umetumikia kwa miaka kadhaa labda hata 15
Ukihamishwa kada ukaja kada Y unaanza pale pa kuanzia
Kuna baadhi ya watu wakifanyiwa Recategorization huwa hata mishara inashuka
Kuna tofauti kubwa ya mshahara kati ya mtu wa diploma aliefanya kazi miaka 20 na wa degree anaeanza leo.
Huyu wa Dip anaweza kuwa na mshahara mkubwa thou ndio upo ukingoni hauwezi panda tena, ila wa degree atakuwa na mshahara mdogo ambao utaendelea kusonga mbele