Ndg wadau
Ningependa kufahamishwa juu ya hili jambo linalohusu recateglrization kwamba kuna ndg yangu ni askali polisi na ana degree ya maendeleo ya jamii akiwa na GPA 3.5 amefanya kazi kwa mda wa miaka mitano sasa lakini anataka kubadilisha aina ya kazi kutoka polisi kwenda PCCB Je inawezekana kubadili?
Je atumie utratibu gani?
Je akihama ngazi ya cheo ataanzia kipi?
Je ngazi ya mshahara itakuwa ni ipi?
Tafadhali naomba kuwasilisha