Mfano miaka miwili kazini na masomoni kutoka muda wa miaka mitatuuna mda gani kazini? una mda gan umetoka masomoni?
Nifanyeje ili nifanyiwe hii kitu nilikuwa idara ya Kilimo nkaenda chuo kusoma mazingira nifanyeje
Taratibu zake zikoje nihame idara
Hii kitu naihitaji sana tafadhalini wadau mliopitia hapo mtujuze hatua zipi zinafuatwa
Mfano miaka miwili kazini na masomoni kutoka muda wa miaka mitatu
miaka miwili haiwezekani mpka ufikishe mitatu kamili
Re-categorization ina yafuatayo.
1. Inabidi uwaone HR wa wizara uliopo au utumishi aone sifa zako na kama horizontal recategorization inawezekana kulingana na structure ya mazingira.
2. Utaanza chini na usidhani utapita juuu.
3. Usipokuwa makini unaweza kupewa cheo amvacho hakijapewa mafungu.
4. Unaweza kulazimika kuhama wizara. Nk