kwa thesis supervision siwaungi mkono
nyie ndio mnachangia kudumaa kwa elimu mtu ana masters au phd lakini kichwani zero kumbe kafanyiwa
mtu wa thesis anasimamiwa na supervisor wake na sio zaidi ya hapo
kazi anaifanya mwanafunzi mwenyewe,,,,,,,,
hayo mengine fanyeni lakini sio hilo mlilolitaja.....