Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
- Thread starter
- #41
kila nikiangalia hiyo avatar yako naona namtokea Bibi yangu naahirishaga, angalaaau nibadilishie kwa siku tu nikuimbishe imbishe bibie
Eeehh hii avatar ni mimi orijinale siwezi badili labda niweke ambayo zamani nilikuwa katoto.
Bora uendelee kufunga breki hivohivo usijebemendeka bureee.